Umbuju
Member
- Jan 27, 2019
- 79
- 78
Wapendwa habari zenu jamani,
Kwa mtu anayetarajia kufungua duka la vipodozi ningependa kupata suggestions za majina mazuriyanayofaa kutumika kwenye duka la vipodozi..
Kama si hivyo naomba kwa mwenye uelewa atuambie ni njia zipi zinatumika kupata jina zuri la kibiashara..
Karibuni san kwa michango