Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Mke alikubali kwa style uliyotumia kufungua huu uzi (kupenda dezo)Najiuliza kama kaoa mke alimkubalije
Na wakwe sasa
Na watoto , majirani , kama anafanya kazi , wenzake mmmmm [color= red][inatosha][/color]
[hujui swali langu]Mke alikubali kwa style uliyotumia kufungua huu uzi (kupenda dezo)
kawaweza, wacha aoge mitusi sasaMtoa mada ana akili kuliko wote wanaomtukama, maana kilichowakera walinua ni dili kumbe holaaaa
Dah... Uhalifu una pande mbili... Mtenda na mtendwa[emoji12] [emoji12]Ukishajikuta umefungua uzi kama huu ujijue kabisa wewe ni irresponsible unapenda dezo na ulitaka kushiriki uhalifu kuliibia TANESCO (na wewe ni baba..)