Fahamu jinsi ya kupata unit feki za umeme (token) bila malipo

Fahamu jinsi ya kupata unit feki za umeme (token) bila malipo

Wewe ufai hata kupewa kundi la watoto uwavushe barabara.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa nimeboreka aisee nimejikuta nacheka.
 
Najiuliza kama kaoa mke alimkubalije
Na wakwe sasa

Na watoto , majirani , kama anafanya kazi , wenzake mmmmm [color= red][inatosha][/color]
Mke alikubali kwa style uliyotumia kufungua huu uzi (kupenda dezo)
 
Dah!
Nikajua atleast unajua which algorithm are they using, kumbe hamuna kitu?!

Katika hali ya kawaida unahitaji atleast 4years (kama una heavy duty computer) kuweza pata 1 correct patern ya kuifanya meter yako isome reading za ukweli.
 
Mtu awazaye ovyo ovyo ana akili ya ovyo ovyo atembeaye na fikra za wizi wizi Huyo n I mwizi mwizi.Pole sana kijana kwa kuwa na mawazo na fikra za wizi wizi.
 
mleta uzi hana tatizo tatizo ni ni mafisi mnaomtukana kisa mlichokuwa mnategemea (wizi) hajawafundisha.😀😀😀
 
Ukishajikuta umefungua uzi kama huu ujijue kabisa wewe ni irresponsible unapenda dezo na ulitaka kushiriki uhalifu kuliibia TANESCO (na wewe ni baba..)
Dah... Uhalifu una pande mbili... Mtenda na mtendwa[emoji12] [emoji12]
 
Unadhani ulivyo zoea wewe wizi basi na wengine wanaendekeza wizi,

Badilika wewe
 
na msipolima mwaka huu mtakufa njaa aki ya mungu nawambia € kwa sauti ya mukulu wa nchi
 
Back
Top Bottom