Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

Haya mafuta nimeyatumia na mineyakubali ila sasa pa kuyapata ndo sijui maana aliyekuwa ananiuzia anadai kampuni imefungwa, mwenye kujua pa kuyapata tafadhali anisaidie.


Kuna hawa wanauza vitu toka Uk [emoji636]
wana vitu vizuri sana vimenisaidiaa mnoo
 
Asante, kwasasa Nina American dream na ya Nazi, yakiisha nitajaribu na yako
Sawa karibu, nina body lotion pia wengi hutumia kwa pamoja na iyo body oil . body oil nafaa pia usoni kama face oil.
 
Muwaulize wamasai mafuta yao nasikia ni mazuri sana
 
Hata ray kigosi anazingatia yote hayo ndio maana yuko kama vile tunavyomuona
 
Palmer's hakuna kitu inafanya, me napenda tu vile inanukia
 
Shukuru sana Mungu dear

Baadhi ya ngozi kwikwi sana haitaki ule hiki wala kile haitaki joto haitaki baridi haitaki mafuta haitaki ukavu ili mradii karahaa huna rahaa
 
Shukuru sana Mungu dear
Baadhi ya ngozi kwikwi sana haitaki ule hiki wala kile haitaki joto haitaki baridi haitaki mafuta haitaki ukavu ili mradii karahaa huna rahaa
Kwa kweli huwa namshukuru sana Mungu. Siku hizi nimeanza kudeal na vitu natural hata lotion nilipumzika for like 6 months ila nikiwaambia watu sipaki kitu zaidi ya vitu vya asili wanaona nawanyima vipako vyangu
 
Naomba weka picha ya kopo la hayo mafta ya nazi mana dukan kuna mengi mpaka unashndwa kuchagua
Tumia hayo mafuta , kwenye maduka yanauzwa Kati ya 1500-2000


Halafu uje kurejesha mrejesho hapa. Hayo mafuta yafanye kuwa sehemu ya maisha yako mwanaume kupaka sehemu za siri kila baada ya kuoga.


Utaona mabadiriko baada ya wiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…