Fahamu kama namba yako ya NIDA ilitumika kusajili laini za simu usizozifahamu kwa mawakala wajanja wa kusajili laini

Ubarikiwe kwa elimu nzuri sana,,,,Ila october usikubali kutumiwa kama ambavyo umekuwa mzalendo kutuelimisha kuhusu uhakiki..Vivyo hivyo ukafanye uzalendo kwa kusimamia uchaguzi eneo lako ukawe huru na wa haki. Ukifanya wewe mema. Mungu atakuona na atakubarikia uzao wako wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitasimamia kwa haki mkuu ....nina hofu ya Mungu zaidi nitatimiza matakwa ya kisheria na kufuata katiba ...
 
Asee nimecheki nimekuta kitambulisho changu imesajili namba ambazo sizijui 2 daaah!!Bora wamehtukia maana mtu unaweza kuja jikuta kwenye matatizo kwa line ambayo imesajiliwa kwa jina lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…