NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Nimefanya hivyo nikaona kuna namba moja ya voda hata siijui alafu najaribu kipigia haipatikani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasalaam.
Ili kujua unabonyeza *106# kisha usajili wa NIDA (Utaingiza NIDA ID yako), baada ya hapo zitakuja namba zote zilizosajiliwa kwa ID yako ya NIDA. Kama namba haijui siyo yako maana yake wakala (agent) alifanya ujanja kutumia ID yako kusajili line nyingine.
Ukishaona kwenye list namba haijui basi unaenda kwenye shop iliyokaribu nawe una claim, then customer care anakuambia uweke finger print kisha hiyo namba inafutwa.
Kutokana na watu wengi kutokuwa na NIDA, mawakala wengi walitumia ujanjaujanja wa kusajili line kwa kutumia ID ya mtu mwingine na kuuza hizo line kati ya elfu 5 hadi elfu 20, inategemea watakavyokuona na uhitaji wako.
Mawakala wanafanyaje ujanja? Ukienda kusajili line yako atakwambia weka dole gumba lako baada ya dakika atakwambia network inasumbua hebu ingiza tena, ukifanya hivyo basi hapo jua umeumia, ile ya kwanza amesajili line ya mtu mwingine na ya pili anasajili line yako, kama haujui hiyo mbinu hauwezi kumstukia maana wapo very smart.
Kwahiyo, wote mlionunua line kwa mawakala zilizosajiliwa kwa NIDA maarufu kama Take Away, mjiandae kisaikolojia.
Utabonyeza mbili halafu utaweka namba yako ya NIDA, mwisho utatumiwa SMS ya namba zako zote ulizozisajili kama kuna namba haujaisajili utaenda kwenye shop yoyote ya kampuni ya simu ambayo wewe ni mteja wao halafu utapewa fomu ya ku-remove namba ambazo huzitambui.
Jumanne NJEMA.
Nitasimamia kwa haki mkuu ....nina hofu ya Mungu zaidi nitatimiza matakwa ya kisheria na kufuata katiba ...Ubarikiwe kwa elimu nzuri sana,,,,Ila october usikubali kutumiwa kama ambavyo umekuwa mzalendo kutuelimisha kuhusu uhakiki..Vivyo hivyo ukafanye uzalendo kwa kusimamia uchaguzi eneo lako ukawe huru na wa haki. Ukifanya wewe mema. Mungu atakuona na atakubarikia uzao wako wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ukienda kwenye shop ujanja hakuna...Nimenda kusajili kwenye hizo customer care zao,sikutaka kusajili kwa hawa wanao tembea barabarani.
Unapotumia line yenye Jina la mtu mwingine, Kosa linakuwa la wakala anayekusajili au wewe mwenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
Kosa litategemea na maelezo...ila km umesajili kwa kuwanusuru jamaa zako kosa ni lako.
Hata mm nimekuta namba 2 sizijui nimejaribu kupiga hazipatikani.Nimefanya hivyo nikaona kuna namba moja ya voda hata siijui alafu najaribu kipigia haipatikani
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kamanda peleka polisi au kwa voda lkn unaweza ku-remove kwa kubonyeza ile options namba 3.Hata mm nimekuta namba 2 sizijui nimejaribu kupiga hazipatikani.
Kama unamjua huyo wakala mpeleke polis na atakulipa hela nzuri tu.Aisee ntakuja kuliua jitu yaani kitambulicho changu nimeangalia nimekuta namba tatu
Yule wakala kum*
Uko vzrHuyu wakala ana bahati hajasajili namba zingine iwa ID yngu, hadi nilimchukua picha kwa tahadhari.
Ngoja niifute Sasa picha yake
Kizibo