Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
- Thread starter
-
- #81
Unaweza kuzifuta ila hakikisho nenda kwenye shop ya huo mtandao Unaweza kuta jamaa alotumia line kwa ajili yako ameshaifanyia utapeli.Hellow, naomba kuuliza coz na mm ni muhanga,
Je, nikitumia option ya remove, inamaana namba ake unafungwa tena. Or hadi nikachome Customer care
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vzr kuchukua form ya kuifuta manake anaweza asiwe muungwana akawa ameifanyia utapeli au uhalifu mwngne ..ukaja kudabwa wew..Tamalizana naye kimyakimya.
PoaNi vzr kuchukua form ya kuifuta manake anaweza asiwe muungwana akawa ameifanyia utapeli au uhalifu mwngne ..ukaja kudabwa wew..
nimewapigia wamenambia nifike shop chap wafanye mamboItakuwa haijauzwa bado
Stay tuned [emoji6], Everything would be alright.
Hiyo kali ...sija experience hiyo ila nachojua n kwamba haiwezekani.
Kosa ni lako, inaonekana umefanya uhuni na ni kosa la jinai!!Unapotumia line yenye Jina la mtu mwingine, Kosa linakuwa la wakala anayekusajili au wewe mwenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda shop yao ukazifungetuma hela kwenye namba hii jina litakuja Big Soap. ni kamchezo kanacho endelea. mawakala wa usajiri wanapoteza uaminifu. yaani wanakwambia weka tena kidole (finger print) kumbe ushasajirishwa line bila kujua. piga *106# akiki nambazi zilizosajiliwa na kitambulisho chako. msaidie ndugu zako na watu wa karibu kuhakiki. asante
teba inakera hadi basi. mi nilikuta kuna line mbili kwenye finger print yanguHiyo tabia inakera sana
Piga,*106# kisha chagua ANGALIA NAMBA ZILIZOSAJILIWA MITANDAO YOTEMsaada. Kama unataka kuangalia namba Zote za mitandao Zote zilizosajiliwa na Nida yangu nafanyaje. Km MTU kasajili na halotel na Nida yangu Mimi Sina halotel laini kuhakiki nitajuaje?
Piga *106#Msaada. Kama unataka kuangalia namba Zote za mitandao Zote zilizosajiliwa na Nida yangu nafanyaje. Km MTU kasajili na halotel na Nida yangu Mimi Sina halotel laini kuhakiki nitajuaje?
Shukurani sana mkuuWasalaam.
Ili kujua unabonyeza *106# kisha usajili wa NIDA (Utaingiza NIDA ID yako), baada ya hapo zitakuja namba zote zilizosajiliwa kwa ID yako ya NIDA. Kama namba haijui siyo yako maana yake wakala (agent) alifanya ujanja kutumia ID yako kusajili line nyingine.
Ukishaona kwenye list namba haijui basi unaenda kwenye shop iliyokaribu nawe una claim, then customer care anakuambia uweke finger print kisha hiyo namba inafutwa.
Kutokana na watu wengi kutokuwa na NIDA, mawakala wengi walitumia ujanjaujanja wa kusajili line kwa kutumia ID ya mtu mwingine na kuuza hizo line kati ya elfu 5 hadi elfu 20, inategemea watakavyokuona na uhitaji wako.
Mawakala wanafanyaje ujanja? Ukienda kusajili line yako atakwambia weka dole gumba lako baada ya dakika atakwambia network inasumbua hebu ingiza tena, ukifanya hivyo basi hapo jua umeumia, ile ya kwanza amesajili line ya mtu mwingine na ya pili anasajili line yako, kama haujui hiyo mbinu hauwezi kumstukia maana wapo very smart.
Kwahiyo, wote mlionunua line kwa mawakala zilizosajiliwa kwa NIDA maarufu kama Take Away, mjiandae kisaikolojia.
Utabonyeza mbili halafu utaweka namba yako ya NIDA, mwisho utatumiwa SMS ya namba zako zote ulizozisajili kama kuna namba haujaisajili utaenda kwenye shop yoyote ya kampuni ya simu ambayo wewe ni mteja wao halafu utapewa fomu ya ku-remove namba ambazo huzitambui.
Jumanne NJEMA.