Hank_31
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 862
- 2,148
Name: Thadeo Lwanga
Position: Midfielder
Role: Defensive midfielder,
Playing style: Anchor man, destroyer, and ball winning midfielder.
Mnamo 2014, kiungo wa Uganda Taddeo Lwanga [emoji1254] alitafutwa kujiunga na Simba SC [emoji1241] wakati akiichezea Express FC ya Uganda. Alikataa ofa na kubaki Uganda na kumaliza masomo yake katika Chuo Kikuu cha Makerere.
Miaka mitatu baada ya kuhitimu na BSC. Software Engineering, alihamia Misri kuichezea Tanta SC [emoji1093] na mwaka mmoja baadaye akasainiwa na Simba SC [emoji1241], klabu aliyoikataa mnamo 2014 ili kumaliza masomo yake.