Mkulima Jr
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 224
- 246
Pamoja mkuu ntakuja apa kutowa mrejesho..nategemeaa kukodi shamba mwezi wa nane..nakuanza kupanda mwezi wa kumi .Nasi usisahau kutupa matokeo kwa kile utakachoambiwa,Ila njegere ni zao ambalo kulima na kuvuna kwake ni ndani ya kipindi kifupi sana,Wakati wa kuvuna ukaja bahatika ukakuta soko lipo vizuri basi wewe ni furaha hapo