Mkulima Jr JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 224 Reaction score 246 Mar 20, 2019 #21 Hajto said: Nasi usisahau kutupa matokeo kwa kile utakachoambiwa,Ila njegere ni zao ambalo kulima na kuvuna kwake ni ndani ya kipindi kifupi sana,Wakati wa kuvuna ukaja bahatika ukakuta soko lipo vizuri basi wewe ni furaha hapo Click to expand... Pamoja mkuu ntakuja apa kutowa mrejesho..nategemeaa kukodi shamba mwezi wa nane..nakuanza kupanda mwezi wa kumi .
Hajto said: Nasi usisahau kutupa matokeo kwa kile utakachoambiwa,Ila njegere ni zao ambalo kulima na kuvuna kwake ni ndani ya kipindi kifupi sana,Wakati wa kuvuna ukaja bahatika ukakuta soko lipo vizuri basi wewe ni furaha hapo Click to expand... Pamoja mkuu ntakuja apa kutowa mrejesho..nategemeaa kukodi shamba mwezi wa nane..nakuanza kupanda mwezi wa kumi .
Mkulima Jr JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 224 Reaction score 246 Mar 20, 2019 #22 Herbert Nkuluzi said: Nami nasubiri Click to expand... Karibu sana..naamini msimu wa kilimo ukikalibiaa tutawasiliana zaidi na zaidi
Herbert Nkuluzi said: Nami nasubiri Click to expand... Karibu sana..naamini msimu wa kilimo ukikalibiaa tutawasiliana zaidi na zaidi
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,646 Reaction score 5,606 Mar 20, 2019 #23 Mkulima Jr said: Pamoja mkuu ntakuja apa kutowa mrejesho..nategemeaa kukodi shamba mwezi wa nane..nakuanza kupanda mwezi wa kumi . Click to expand... Naomba niku pm kuna vingi vya kushauriana kidogo
Mkulima Jr said: Pamoja mkuu ntakuja apa kutowa mrejesho..nategemeaa kukodi shamba mwezi wa nane..nakuanza kupanda mwezi wa kumi . Click to expand... Naomba niku pm kuna vingi vya kushauriana kidogo
Mkulima Jr JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 224 Reaction score 246 Mar 21, 2019 #24 Karibu mkuu...unipee ujuzi.ntashukuru sana Sent using Jamii Forums mobile app
Mkulima Jr JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 224 Reaction score 246 Mar 21, 2019 #25 Hajto said: Naomba niku pm kuna vingi vya kushauriana kidogo Click to expand... Karibu mkuu..njoo unipee ujuzi naitaji kufahamuu nakujifunza zaidi na zaidi..@hajto Sent using Jamii Forums mobile app
Hajto said: Naomba niku pm kuna vingi vya kushauriana kidogo Click to expand... Karibu mkuu..njoo unipee ujuzi naitaji kufahamuu nakujifunza zaidi na zaidi..@hajto Sent using Jamii Forums mobile app