Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Kifalsafa Hofu ni siraha ya maangamizi!
Kama ni vita basi KORONA inaingia ulingoni ikiwa na point moja ya ushindi ambayo ni hofu!
Hofu hupunguza nguvu ya IMMUNITY kufanya kazi! Kwahiyo hofu inaondoa uwezo wa kupambana na ugonjwa wa korona by 50%
 
Umejiuliza kwanini Italy watu wanakufa sana?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
I bet wazee wanaokufa ni sababu ya ugonjwa wa moyo, panic ndio inayouwa watu sio COVID-19.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…