FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
-
- #981
inaweza kuw kweri 7bu iran atataka haioneshe dunia anaweza halafu dawa ikiwa confmed anaweza azisha propaganda marekani ndo kasambaza makusudiWacha tungojee zaidi ukweli zaidi utajulikanika zaidi japo naamini kwa asilimia 30 nikweli
Sent using Jamii Forums mobile app
papa mapao hapo sasa iran ndo anapataka kuoneshana umwambaDuniani hakukosekani suluhisho la matatizo, hiyo njia yao hao Wairan inaweza ikawa ni suluhisho kamili, shida western hawataki kuonekana kushindwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba ni kweri hii au propaganda za mtandaoni yaan ndani ya wiki 1 tu wawe wamevumbua dawa wkt WHO jopo zima la madocta bingwa walokutana huko china tangu mwezi january mpk sasa tunaenda Apr kimya hata dawa ya kuleta nafuu hawajapata
Sent using Jamii Forums mobile app
ooh hatari ushawapata VIONGOZI sasa mwisho utatua kwa khamenei sasa duh noma hiiNEWS ALERT: Iran's deputy health minister (left) tests positive for coronavirus; he had previously looked unwell during a press conference. (video)
View attachment 1368946
haya mkuu ngoja tusikilizieYeah kwa madawa hawa Wairan usiwe na wasi, wako vizuri
Iran has made considerable advances in science and technology through education and training, despite international sanctions in almost all aspects of research during the past 30 years. Iran's university population swelled from 100,000 in 1979 to 2 million in 2006.[citation needed] In recent years, the growth in Iran's scientific output is reported to be the fastest in the world.[1][2][3] Iran has made great strides in different sectors, including aerospace, nuclear science, medical development, as well as stem cell and cloning research.[4]
Throughout history, Iran was always a cradle of science, contributing to medicine, mathematics, astronomy and philosophy. Trying to revive the golden time of Iranian science, Iran's scientists now are cautiously reaching out to the world. Many individual Iranian scientists, along with the Iranian Academy of Medical Sciences and Academy of Sciences of Iran, are involved in this revival.[citation needed]
Sent using Jamii Forums mobile app
haya mkuu ngoja tusikilizie
lkn si ushasikia waziri wao ameupata ugonjwa hvyo tusikilizie update zaidi kupata Uhakika
Sent using Jamii Forums mobile app
FactsDuniani hakukosekani suluhisho la matatizo, hiyo njia yao hao Wairan inaweza ikawa ni suluhisho kamili, shida western hawataki kuonekana kushindwa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaan kwakweli huwezi zidi furaha yangu
mjomba maisha matamu asikwambie mtu
japo watu wanalalamika maisha magumu sjui nn lkn hakuna anayetamani kufa kizembe huku anajiona bora tu hiyo dawa ipatikane hofu ziondoke
nawaza sana mzee nina deal la mln 10 mwaka huu sasa nife mkuu wangu kabla halijatic hilo deal halafu wafaidi wengne noma mzee
hiyo dawa bora ipatikane tu
Kaka tumia akili. Virusi vya Korona hushindwa kwa asilimia 97-98. Kwa bahati mbaya zinabaki asilimia 2-3 ambako virusi vinashinda, hao ni wale wanaokufa baada ya kambukizwa. Ilhali idadi ya maambukizi inazidi kuwa kubwa sana, idadi ya vifo inaongezeka.Iran wamegundua dawa na taari kuna mgonjwa mmoja ametibiwa amepona, hio pic apo wanashereheka kwa kufanikiwa kupona mgonjwa kwa hio dawaView attachment 1368922
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ndo mana tunatafuta kwa bidii 7bu kuna watu nyuma tegemezi hvyo tukiaanguka leo tukiwaacha bila miongozo sahihi inakuwa shida mzee la sivyo ingekuwa ponda mari kufa kwaja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ubaya Wa Kila Tunachokitafta Sio Chetu Baadae Tutawacha Watu Waje Wagombanie Mali Zetu Tulizozitafta Kwamajasho Yetu
Nkikumbuka Kipande Hiki Naumia Mno Ila Hua Siachi kutafta Tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka tumia akili. Virusi vya Korona hushindwa kwa asilimia 97-98. Kwa bahati mbaya zinabaki asilimia 2-3 ambako virusi vinashinda, hao ni wale wanaokufa baada ya kambukizwa. Ilhali idadi ya maambukizi inazidi kuwa kubwa sana, idadi ya vifo inaongezeka.
HAdi sasa asilimia 5 au kidogo zaidi ni maambukizi mazito. Hapo maisha hutegemea hali ya mfumo wa afya nchini.
Maana kama hakuna hospitali zeye uwezo wa kutibu, au kama idadi ya maambukozi inapita nafasi za hospitali, tutona vifo zaidi.
Kuja vinakuja tu usiwe na wasiwasi.
Kumbuka tu kunawa mikono mara kwa mara. Na mara vimefika nchini, acha kuwasalimu watu kwa kupeana mikono.
Kaka tumia akili. Virusi vya Korona hushindwa kwa asilimia 97-98. Kwa bahati mbaya zinabaki asilimia 2-3 ambako virusi vinashinda, hao ni wale wanaokufa baada ya kambukizwa. Ilhali idadi ya maambukizi inazidi kuwa kubwa sana, idadi ya vifo inaongezeka.
Hadi sasa asilimia 5 au kidogo zaidi ni maambukizi mazito. Hapo maisha hutegemea hali ya mfumo wa afya nchini.
Maana kama hakuna hospitali zenye uwezo wa kutibu, au kama idadi ya maambukizi inapita nafasi za hospitali, tutona vifo zaidi.
Kuja vinakuja tu usiwe na wasiwasi.
Kumbuka tu kunawa mikono mara kwa mara. Na mara vimefika nchini, acha kuwasalimu watu kwa kupeana mikono.
Mungu ni mwemaIran wamegundua dawa na taari kuna mgonjwa mmoja ametibiwa amepona, hio pic apo wanashereheka kwa kufanikiwa kupona mgonjwa kwa hio dawaView attachment 1368922
Sent using Jamii Forums mobile app
Siogopi ugonjwa, naogopa kidogo hofu ya ugonjwa. Wengi wataambukizwa, nahisi pia TZ. Wengi sana wanaoambukizwa watapona, asilimia kubwa hata hawawezi kutambua waliingiwa na virusi.Itakua ww taari imeshaanza kukuathiri mkuu, hizo ni taarifa ww unakuja kutoka povu hapa? Fuatilia Habari za positive pia na sio uko negative tu, usiwe mvivu wa kufatilia Habari na kushinda JF tu
Wewe unaamini Corona haijatua Africa mpaka sasa?Siogopi ugonjwa, naogopa kidogo hofu ya ugonjwa. Wengi wataambukizwa, nahisi pia TZ. Wengi sana wanaoambukizwa watapona, asilimia kubwa hata hawawezi kutambua waliingiwa na virusi.
Lakini wengine watagonjeka, na hao asilimia 2-3 watakufa. Au zaidi kidogo kama hospitali hazitoshi na watu hawatumii akili.
Muhimu ni tutunze akili njema. na hapa nasema: tunawe mikono mara kwa mara. Na pia virusi vitakapoingia - basi tuepukane kupeana mikono. Kwa Wairan nilikuta desturi njema (si wote wanafanya vile, lakini wengi kiasi); Unaweka mkono wa kiume kifuani juu ya moyo, unanama kichwa. Ni salamu ya heshima pia.