Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waafrica ni wajinga how tunaruhusu raia wa Italy kudhuru?[emoji30] africa[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22].
UPDATE: Afrika

Algeria imeripoti kisa cha kwanza cha COVID-19 nchini humo. Kisa hicho ni raia wa nchini Italia aliyeingia nchini humo mnamo Februari 17, Wizara ya afya ya Algeria imethibitisha.

Taarifa zaidi zitafuata!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah mwanangu tushirikishane kwenye ilo dili man..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waafrica ni wajinga how tunaruhusu raia wa Italy kudhuru?[emoji30] africa[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22].

Sent using Jamii Forums mobile app
Raia wa Italia au China hawana tatizo!!! Yeyote anayetoka China juzijuzi, leo au kesho anapaswa kuangaliwa na kupimwa. Rangi yoyote.
Na tayari mtu anayetoka Iran (lakini si kila mtu wa Iran), South Korea (si kila Mkorea) na watu wanaotoka nchi nyingine penye mlipuko wa ugonjwa.
 
UPDATE: Uhispania imeripoti kisa kipya kimoja (1) jijini Madrid na kufikisha jumla ya visa saba (7) hadi sasa nchini humo.
 
NEWS ALERT: Bahrain closes all kindergartens, schools, universities, and training centers in the country for at least 2 weeks to prevent the spread of coronavirus.
 
NEWS ALERT: Brazil's Health Ministry says a man has tested positive for coronavirus in an initial test, but they're waiting for results from a 2nd test. If confirmed. it would be South America's first case.

The patient is a 61-year-old man in São Paulo. He was in northern Italy from February 9 until February 21.
 
BREAKING: Korea Kusini imeripoti visa vipya 169 na kufikisha jumla ya visa 1,146 nchini humo.
 
UPDATE: South Korea says 16,734 people are currently being tested for coronavirus, up from 13,880 last night. Many of them are being tested as a precaution.
 
NEWS ALERT: Seoul, South Korea - U.S. military says soldier based in South Korea tested positive for a new virus, the first U.S. service member infected. [AP]
 
UPDATE: Mpaka hivi sasa, visa 80,995 vimeripotiwa ulimwenguni huku idadi ya vifo ikiwa ni 2,763 duniani kote kwa mujibu wa takwimu rasmi.

There are currently 80,995 confirmed cases worldwide, including 2,763 fatalities according to official reports.
 
UPDATE: Mainland China (26 February 2020 at 4:59 am East Africa Time)

MAINLAND CHINACasesDeathsNotes
Hubei province
(includes Wuhan)
65,1872,6158,326 serious
Guangdong province1,333535 serious, 27 critical
Henan province1,2671924 serious, 21 critical
Zhejiang province1,203131 serious, 18 critical
Hunan province1,011443 serious
Anhui province98863 critical
Jiangxi province934126 serious
Jiangsu province63106 serious, 4 critical
Chongqing567629 serious, 12 critical
Shandong province74948 serious, 12 critical
Sichuan province525318 critical
Heilongjiang province4791270 serious
Beijing396419 critical
Shanghai334211 serious, 3 critical
Tianjin1323
Other regions2,25623
Undisclosed724
TOTAL78,0642,7158,552 serious
29,745 recovered
2,491 suspected
 
UPDATE: Other Places (26 February 2020 at 4:59 am East Africa Time)

OTHER PLACESCasesDeathsNotes
Diamond Princess691436 serious, 10 recovered
South Korea1,146126 critical, 22 recovered
Italy3221119 serious, 1 recovered
Japan161*114 serious, 23 recovered
Iran9515
Singapore9107 critical, 58 recovered
Hong Kong8524 critical, 2 serious, 18 recovered
United States5706 recovered
Thailand3702 serious, 15 recovered
Taiwan3115 recovered
Malaysia22017 recovered
Australia22015 recovered
Germany1801 critical, 15 recovered
Vietnam16016 recovered
UAE1302 serious, 3 recovered
United Kingdom1308 recovered
France14111 recovered
Canada1103 recovered
Macau1005 recovered
Bahrain230
Kuwait110
Iraq50
Philippines312 recovered
India303 recovered
Russia202 recovered
Spain902 recovered
Oman40
Nepal101 recovered
Cambodia101 recovered
Sri Lanka101 recovered
Finland101 recovered
Sweden10
Belgium101 recovered
Egypt101 recovered
Israel20
Lebanon10
Afghanistan10
Austria20
Croatia10
Switzerland10
Algeria10
TOTAL2,9314893 serious/critical
 
Mkuu tafuta reliable source uwe unatuwekea chat yenye summary, nchi, cases, critical, recovered and death.Hizo # hazieleweki haraka.Mfano kiambatanisho cha awali.Hata hivyo asante sana kwa update

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana yake hakuna Virus vya Ukimwi.
Viko kabisa. Tangu mwaka 2004 picha zake zinapatikana kwa njia ya hadubini elekroniki. Angalia
hapa
hapa (wameongeza rangi) inaonyesha jinsi gani virusi vya HIV vinatoka kwenye seli iliyoathiriwa kutafuta seli mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…