Maana yake hakuna Virus vya Ukimwi.
Siogopi ugonjwa, naogopa kidogo hofu ya ugonjwa. Wengi wataambukizwa, nahisi pia TZ. Wengi sana wanaoambukizwa watapona, asilimia kubwa hata hawawezi kutambua waliingiwa na virusi.
Lakini wengine watagonjeka, na hao asilimia 2-3 watakufa. Au zaidi kidogo kama hospitali hazitoshi na watu hawatumii akili.
Muhimu ni tutunze akili njema. na hapa nasema: tunawe mikono mara kwa mara. Na pia virusi vitakapoingia - basi tuepukane kupeana mikono. Kwa Wairan nilikuta desturi njema (si wote wanafanya vile, lakini wengi kiasi); Unaweka mkono wa kiume kifuani juu ya moyo, unanama kichwa. Ni salamu ya heshima pia.
Cha ajab ni kuwa binadam hupenda kuwaza wakipendacho au kitachowapa furaha ya moyo
Ila ukweli ni kwamba ukweli una njia zake nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hebu tia neno hata moja tu kuhusiana na ukweli huo.Cha ajab ni kuwa binadam hupenda kuwaza wakipendacho au kitachowapa furaha ya moyo
Ila ukweli ni kwamba ukweli una njia zake nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mkuu.Viko kabisa. Tangu mwaka 2004 picha zake zinapatikana kwa njia ya hadubini elekroniki. Angalia
hapaFile:HIV-1 Transmission electron micrograph AIDS02bbb lores.jpg - Wikimedia Commons
commons.wikimedia.org
hapa (wameongeza rangi) inaonyesha jinsi gani virusi vya HIV vinatoka kwenye seli iliyoathiriwa kutafuta seli mpyaFile:ElecMicro of HIV Retrovirus serum isolate Samp-HM47.jpg - Wikimedia Commons
commons.wikimedia.org
Hii thread mpya inarudia madai eti virusi vya corona ni salaha ya kibiolojiaDmitry Novikov: Corona ni silaha ya kibiolojia ya Marekani
Mwanachama wa Kamati ya Masuala ya Kimataifa ya Bunge la Russia (DUMA) amesema kuna uwezekano kwamba, virusi vya Corona ni silaha ya kibiolojia ya Marekani. Dmitry Novikov ameashiria uwezekano wa kuhusika Marekani katika janga la sasa na virusi vya Corona na kusema: Kuna uwezekano kwamba virusi...www.jamiiforums.com
Hapana. Hatutakufa kama kuku wa mdondo. Hadi sasa ni asilima 2-3 wanaokufa.Update:
Ukija bongo huu ugonjwa,,,kwa jinsi tunavopenda vya kunusa nusa,,tutakufa kama kuku wa mdondo.
Jina lakitabu na ikiwezekana kutupatia pia sio mbaya sana soft copyMaika mingi iliyopita kuna kitabu kiliwahi kuandika juu ya huu ugonjwa wa Corona na kikataja mji wa WUHAN kuwa ndo utakapoanzia!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mkuu, ukishindwa kutetea Hoja ni kwanini saa sita jua linakua utosini basi tunaafiki saa sita hakuna jua la utosi sio ??Hii thread mpya inarudia madai eti virusi vya corona ni salaha ya kibiolojia
Madai hayo hakuna msingi. Yameshajadiliwa kwa undani na makini hapa JF
The novo coronavirus: Could it have been genetically engineered for the Chinese race as a bio-weapon?
Mleta mada alichota kwenye blogu zisizo za kitaalamu ,a,eshinda kutetea hoja
Hawana. Walimtangaza mtu aliyepona (jinsi ilivyo na wengi sana wa virusi hivi) Ila tu maambukizi huenea haraka na hivyo hao asilimia 5 wanaognjeka vibaya wamekuwa wengi kiasi, hasa kwenye mji wao wanaoona ni mtakatifu, Ghom.