FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
-
- #1,081
PumbaCorona virus imechelewa Sana kufika Africa.. tunaisubiri kwa hamu ituue sote sisi kizazi kilichofeli ili Kianze kizazi kipya chenye mawazo mapya.
Please Corona virus clear this unsophisticated generation to make way for the smart generation.
Take us to the finish line virus.
Don't worry we are waiting patiently for your visitation.
Love.
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona virus inashambulia zaidi wenye kinga dhaifu na umri mkubwa,rejea takwimu.View attachment 1369774
Sent using Jamii Forums mobile app
VP kuhusu Kenya😐😐UPDATE: Kisa cha kwanza kimeripotiwa nchini Pakistan katika mji wa Karachi mkoani Sindh.
Imeripotiwa kuwa, mgonjwa huyo aliingia mjini Karachi mnamo Februari 20 akitokea nchini Iran.
Mmmh ?hii habari ni sahihi au uzushi wa mitandaoni tuView attachment 1369792
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi kwanini athari ya ugonjwa huu COVD 19 imeenea zaidi kwa mabeberu (ulaya magharibi) na si (ulaya mashariki)!!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndo upuuzi sasa. KENYA INAPOKEA WACHINA WENGI hvyo bila sababu ya msingi. Wakati ikijua uwezo wa kuwaudumia hawanaUPDATE: Africa
Chinese Airplane land in Kenya with suspected cases of Coronavirus
Kenya's Ministry of Health has advised all 239 passengers aboard China Southern Airlines that landed today at Jomo Kenyatta International Airport to self-quarantine for 14 days.
View attachment 1369686