MAKONGOLOSII
JF-Expert Member
- Jul 31, 2024
- 413
- 640
Asante sana mkuu, - je ni kweli asali mbichi ukiloweka njiti ya kiberiti ukiwasha inawaka?Nakujibu kwa niaba na kwa uzoefu sio kitaalamu.
Ninavyojua njia hii ya kupika asali huwa ni njia rahisi sana ya kukamua asali na pia huwa wanaweka maji ili iwe nyingi.
Vilevile walikuwa wanaipika hawakujua kuwa asali ikipikwa inapoteza ubora wake wao daima walijali utamu t.
Ni njia ya muda kidogo ambayo hata sisi tumeitumia kipindi cha nyuma kwani asali ikipikwa huyeyuka haraka sana yaani ndani ya dk15 umeiyeyusha asali nyingi sana.
Zamani ukitaka asali mbichi tulikuwa tunakamua kwa mkono ama kuiweka juani inakuwa inatiririka kidogo kidogo
zoezi hili lilikuwa likichukuwa muda sana hata wiki nzima na zaidi kama asali ni nyingi.
kwa sasa kuna machine za kukamua asali mkuu dk0 kazi imeisha. Ahsante
- ni kweli asali iliyo pikwa ukiweloweka njiti ya kiberiti ukiwasha hiyo njiti haiwaki ?