Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

1,200,000.mkuu inatosha kabisa kwa kuanza at initial stage then biashara itakapokuwa na uhitaji kuongezeka ndio unaweza ukafanya more investment for your business.
mkuu ingependeza kama ungetoa mchanganuo, maana hiyo 1.2M naiona ndogo sana. tusaidie kwa mchanganuo tafadhali.
 
Mimi nipo Morogoro mjini, nataka nifungue ofisi ya kupika vya kula kwenye shughuli (catering) je niipe jina gani zuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…