mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Achana na hiyo gari mkuu, unless ununue Freelander td 4 2000 ambazo ni za kuanzia 2003 kwenda juu ambapo waliachana na engine kimeo za Rover K-series ambazo kuunguza head gasket ikiwa ndio ugonjwa wake mkuu na wakaanza kutumia engine za BMW's 2.0 common rail TD4 engine.
Inshort hilo gari huwa ni kimeo tu, kuna watu wametoa engine zilizokuja na hizo freelander na kuweka engine za rav 4 ambazo ni 3S gari zinafanya kazi lakini performance yake ni ya kuunga unga tu.
Inshort hilo gari huwa ni kimeo tu, kuna watu wametoa engine zilizokuja na hizo freelander na kuweka engine za rav 4 ambazo ni 3S gari zinafanya kazi lakini performance yake ni ya kuunga unga tu.