Hii itakuwa haina matatizo kama yaliyoanishwa na wadau waliotangulia kuchangia?Nunua Freelander 2 kuanzia 2008, diesel engine Td4
Asante mzee kigogo kwa ushauri. Naona ni bora nihamie hukoEscudo ni gari ya kazi. Hutajutia
Hizi walirekebishaHii itakuwa haina matatizo kama yaliyoanishwa na wadau waliotangulia kuchangia?
Ukiweza chukua ya miaka ya nyuma kuanzia 2005 kushuka ChiniAsante nami nina ka mpango ka kumiliki gari hii ila nikawa nasitasita
Sawa mkuu.Hizi walirekebisha
Hizi ndio zitakuwa imara kuliko 2006 kuja juu? Unaweza kutupa sababu mkuu kwann unapendekeza ya miaka ya nyuma?Ukiweza chukua ya miaka ya nyuma kuanzia 2005 kushuka Chini
Weee usimuingize chaka. Freelander za kwanza walichemka. Freelander 2 ndio ziko vizuri tena za diesel Td4 au Sd4Ukiweza chukua ya miaka ya nyuma kuanzia 2005 kushuka Chini
In terms of reliability and cheap maintenance. Suzuki Escudo is the best.Weee usimuingize chaka. Freelander za kwanza walichemka. Freelander 2 ndio ziko vizuri tena za diesel Td4 au Sd4
Yeah za miaka ya nyuma ni ngumu na imara zaidi compare to the latest ones. Hasa upate manual transmission unadunda nayo sehem yoyote. Ni gari za uhakika haiwezi kukulaza njiani iwe mvua Au jua.Hizi ndio zitakuwa imara kuliko 2006 kuja juu? Unaweza kutupa sababu mkuu kwann unapendekeza ya miaka ya nyuma?