Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Grammar Pedantry Syndrome' ni ugonjwa anaokuwa nao mtu ambapo anakuwa anapenda kusahihisha wenzake pale anapoona Grammar (sarufi) imetumiwa vibaya.
Hajisikii tu vizuri kuona makosa hayo hivyo lazima atasahihisha.
PIA SOMA
1. Mtu akiandika hivi huwa najisikia hasira
2. Tuna tatizo la matumizi ya " L" na " R" katika Kiswahili
Hajisikii tu vizuri kuona makosa hayo hivyo lazima atasahihisha.
PIA SOMA
1. Mtu akiandika hivi huwa najisikia hasira
2. Tuna tatizo la matumizi ya " L" na " R" katika Kiswahili