Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Huu ugonjwa nilikuwa nao ila mwalimu wangu ephen_ saivi kanifundisha vizuriGrammar Pedantry Syndrome' ni ugonjwa anaokuwa nao mtu ambapo anakuwa anapenda kusahihisha wenzake pale anapoona Grammar (sarufi) imetumiwa vibaya.
Hajisikii tu vizuri kuona makosa hayo hivyo lazima atasahihisha.
PIA SOMA
1. Mtu akiandika hivi huwa najisikia hasira
2. Tuna tatizo la matumizi ya " L" na " R" katika Kiswahili