maalum [emoji777] maalumu [emoji3581]Mimi ni mmoja wapo nachukia sana kuona Kiswahili kinakosewa mfano mtu anaandika maarum badala ya maalum , ludi badala ya rudi. Sijui ni kutokana na fani yangu ya ualimu siwezi kuvumilia makosa nitasahihisha tu
Soma vizuri nilichoandika sio unakurupuka nimeandika vizuri kuwa sipendi mtu anayeandika maarum badala ya maalum wewe unakurupuka kusahihisha nyinyi ndio huwa tunawanyima marks kwenye mitihani. Hujasoma swali vizuri unakurupuka kujibu
Maalum[emoji777] Maalumu[emoji3514]Soma vizuri nilichoandika sio unakurupuka nimeandika vizuri kuwa sipendi mtu anayeandika maarum badala ya maalum wewe unakurupuka kusahihisha nyinyi ndio huwa tunawanyima marks kwenye mitihani. Hujasoma swali vizuri unakurupuka kujibu
Hujasoma[emoji777] Haujasoma [emoji3514]Soma vizuri nilichoandika sio unakurupuka nimeandika vizuri kuwa sipendi mtu anayeandika maarum badala ya maalum wewe unakurupuka kusahihisha nyinyi ndio huwa tunawanyima marks kwenye mitihani. Hujasoma swali vizuri unakurupuka kujibu
Aisee so sad sijui mlisoma shule gani
Nafikiri neno Maalumu Ni sahihi zaidi kuliko neno MaalumAisee so sad sijui mlisoma shule gani
NopeNafikiri neno Maalumu Ni sahihi zaidi kuliko neno MaalumView attachment 1390560
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ni mashindano haya nawatakia mashindano mema katika kuharibu lugha
Ndo unaumwa sasa..!!Mimi ni mmoja wapo nachukia sana kuona Kiswahili kinakosewa mfano mtu anaandika maarum badala ya maalum , ludi badala ya rudi. Sijui ni kutokana na fani yangu ya ualimu siwezi kuvumilia makosa nitasahihisha tu
Mwema[emoji777] mema [emoji818]Kumbe ni mashindano haya nawatakia mashindano mwema katika kuharibu lugha
Soma vizuri nilichoandika sio unakurupuka nimeandika vizuri kuwa sipendi mtu anayeandika maarum badala ya maalum wewe unakurupuka kusahihisha nyinyi ndio huwa tunawanyima marks kwenye mitihani. Hujasoma swali vizuri unakurupuka kujibu