Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 24,262 Reaction score 58,728 Aug 6, 2024 #21 Numbisa said: Grammar Pedantry Syndrome' ni ugonjwa anaokuwa nao mtu ambapo anakuwa anapenda kusahihisha wenzake pale anapoona Grammar (sarufi) imetumiwa vibaya. Hajisikii tu vizuri kuona makosa hayo hivyo lazima atasahihisha. PIA SOMA 1. Mtu akiandika hivi huwa najisikia hasira 2. Tuna tatizo la matumizi ya " L" na " R" katika Kiswahili Click to expand... Huu ugonjwa nilikuwa nao ila mwalimu wangu ephen_ saivi kanifundisha vizuri
Numbisa said: Grammar Pedantry Syndrome' ni ugonjwa anaokuwa nao mtu ambapo anakuwa anapenda kusahihisha wenzake pale anapoona Grammar (sarufi) imetumiwa vibaya. Hajisikii tu vizuri kuona makosa hayo hivyo lazima atasahihisha. PIA SOMA 1. Mtu akiandika hivi huwa najisikia hasira 2. Tuna tatizo la matumizi ya " L" na " R" katika Kiswahili Click to expand... Huu ugonjwa nilikuwa nao ila mwalimu wangu ephen_ saivi kanifundisha vizuri