Fahamu kuhusu HIROSHIMA & NAGASAKI

Fahamu kuhusu HIROSHIMA & NAGASAKI

SB50.jpg

nilidhani umeshusha nondo kumbe unauliza... okay fine let's get in..

baada ya kujidhatiti nakujiona wamekuwa nguli Japan iliamua kujitoma kwenye vita ya pili ya dunia mwaka 1945.
wakati ujerumani na italy ikitaabika ktk kuendeleza vita hiyo kutokana na kipigo cha british nawashirika wake.
japan aliamua kuzisaidia ujerumani na italy,kitendo hicho cha japan kuendeleza vita hiyo kilisababisha nguli U.S.A kuibukia vita hivyo nakuanza kumuonya japan,lkn hata hivyo japan hakusikia!,ndipo U.S.A alipoomba upande wa wabritish nawashirika wake ambao walikuwa wakihemea ulimi nje kutokana na vita hiyo kutokana na kuchoshwa kiuchumi,kimiundombinu na kijeshi.. U.S.A akiwa mshirika wa wabritish mnamo Agosti 6 1945,mji wa Hiroshima ulitikiswa kwa bomu lakinyukilia lililoangushwa na ndege aina ya B-29,ambapo watu takribani 80,000 waliuwawa kutokana na mlipuko tu hapo bado majeruhi na waliokufa kwa mionzi!.
mbali na hivyo
 
intrusted..you may continue
 
Mbali na hivyo japan bado aliendelea kuwashwawashwa! nakutuma majeshi yake mbele kuendeleza WW2!.
U.S.A nayo haikuchoka,bado ilitaka kuionyesha dunia kuwa amejidhatiti vilivyo ktk anga za mapigano!.
siku tatu mbele yani tarehe 9 agosti 1945 mji wa nagasaki tena uliangamizwa kwa bomu lakinyukilia lililodondoshwa na Bomber B-29,Ambapo takribani watu 40000 walipoteza maisha..
kiujumla inakadiliwa kuwa takribani watu 129000 walipoteza maisha kutokana na mabomu hayo,hivyo kufuatia kipigo hicho cha mbwa mwitu,japan ili sarenda nakurudisha wanajeshi nyumbani kulikokuwa na kilio cha kusaga mapengo!!.

kwanini hiroshima na nagasaki..?
hii ndio ilikuwa miji iliyokuwa na uzalishaji na miundombinu kadhawakadha,hivyo watesi wao walionelea ni vyema kuwaharibia miji hiyo ili kukosa nguvu yakiuchumi hivyo wasingeweza kuendelea na vita hiyo.

Lengo kuu ilikuwa ni kustopisha WW2.
madhara yaliyoletwa na mabomu hayo ni pamoja na..
vifo,kuharibiwa kwa miundombinu mbali na hayo najua unashauku ya kujua zile radiation... naja.
 
USA aliingia vitani baada ya kuona washirika wake maji ya shingo na iwapo wangeshindwa asingeweza pata marejesho ya mkopo alokua amewapa!...
USA alimpiga Japan baada ya yeye kupigwa nyumbani kwake pearl harbor na Japan hivyo akataka kulipa kisasi , kumaliza vita lakini wakati huo kuonyesha bomu jipya duniani, ingawa nyuklia ilikua imekwisha anza tengenezwa Ujerumani na Adolf Hitler.
Pia muswada wa kumaliza vita ulikua na purukushani maana kuna walinzi wa Japan ambao walitaka kushuhudia mpaka mwisho wanapigana na USA, ndio maana kuna taarifa ulitoroshwa toka ikulu kwa mfalme kwenye kikapu na wanawake.
USA hakua peke yake mwenye bomu la nyuklia lakini alifanikiwa kuwa wa kwanza kulidondosha playground!..
 
SB50.jpg

nilidhani umeshusha nondo kumbe unauliza... okay fine let's get in..

baada ya kujidhatiti nakujiona wamekuwa nguli Japan iliamua kujitoma kwenye vita ya pili ya dunia mwaka 1945.
wakati ujerumani na italy ikitaabika ktk kuendeleza vita hiyo kutokana na kipigo cha british nawashirika wake.
japan aliamua kuzisaidia ujerumani na italy,kitendo hicho cha japan kuendeleza vita hiyo kilisababisha nguli U.S.A kuibukia vita hivyo nakuanza kumuonya japan,lkn hata hivyo japan hakusikia!,ndipo U.S.A alipoomba upande wa wabritish nawashirika wake ambao walikuwa wakihemea ulimi nje kutokana na vita hiyo kutokana na kuchoshwa kiuchumi,kimiundombinu na kijeshi.. U.S.A akiwa mshirika wa wabritish mnamo Agosti 6 1945,mji wa Hiroshima ulitikiswa kwa bomu lakinyukilia lililoangushwa na ndege aina ya B-29,ambapo watu takribani 80,000 waliuwawa kutokana na mlipuko tu hapo bado majeruhi na waliokufa kwa mionzi!.
mbali na hivyo
Baadhi ya maelezo nmeyasoma kwa wikipedia....
nataka kufahamu siku ya tukio kama kuna yeyote alishuhudia tukio hilo akapona....
palitokea reaction gani?

maana mitaani kuna fix nyingi mkuu, ndio maana nikaamua nije kwa Great thinkers
 
Mbali na hivyo japan bado aliendelea kuwashwawashwa! nakutuma majeshi yake mbele kuendeleza WW2!.
U.S.A nayo haikuchoka,bado ilitaka kuionyesha dunia kuwa amejidhatiti vilivyo ktk anga za mapigano!.
siku tatu mbele yani tarehe 9 agosti 1945 mji wa nagasaki tena uliangamizwa kwa bomu lakinyukilia lililodondoshwa na Bomber B-29,Ambapo takribani watu 40000 walipoteza maisha..
kiujumla inakadiliwa kuwa takribani watu 129000 walipoteza maisha kutokana na mabomu hayo,hivyo kufuatia kipigo hicho cha mbwa mwitu,japan ili sarenda nakurudisha wanajeshi nyumbani kulikokuwa na kilio cha kusaga mapengo!!.

kwanini hiroshima na nagasaki..?
hii ndio ilikuwa miji iliyokuwa na uzalishaji na miundombinu kadhawakadha,hivyo watesi wao walionelea ni vyema kuwaharibia miji hiyo ili kukosa nguvu yakiuchumi hivyo wasingeweza kuendelea na vita hiyo.

Lengo kuu ilikuwa ni kustopisha WW2.
madhara yaliyoletwa na mabomu hayo ni pamoja na..
vifo,kuharibiwa kwa miundombinu mbali na hayo najua unashauku ya kujua zile radiation... naja.
barabara mkuu
[emoji23]
tushushie nondo...
 
Endelea Mtaalam,
Nami eti nilisikia kuwa Bomu hilo liligeuza sehemu ya aridhi, udongo ukaenda chini miamba ikaja juu (upside down)
ndio maana nimeanzisha mada mkuu
maana huu uwongo tumeshibishwa sana tangu miaka ya 2000[emoji23] [emoji23]

bora mkuu ashushe vp
 
umenikumbusha pindi la history. . .nakumbuka sababu mojawapo ya mmarekani kumpiga mjapani kipigo cha kihistoria ni: wakati huo U.S.A alikua amempani japan kinyama sababu JAPAN alikua yuko vizuri kwenye mauzo ya bidhaa zake kutokana na ubora wa bidhaa hizo ambapo U.S.A aliyumba sana kwenye mauzo yake ya bidhaa duniani na hata nchini kwake mpaka ikafika mahali akakataza bidhaa za japan zisiingie tena U.S.A.kwaio kwenye vita ya pili ya dunia U.S.A akapata nafasi yakumshambulia mjapani (mpinzani wake mkubwa sokoni)
 
Walimu said" waliokuwa karibu na mlipuko waliundergo sublimation process nadhani, changing from solid to gas state without passing thru the liquid state na hata jivu halikubaki, then wajirani kiasi wali change into plastic material, (@all ni kifo) na wengine kuungua, Wa mbali sana walipata radiation effects, kuzaa watoto walemavu, eg hana mkono, au deformed babies, kidole kutokea kichwani, etc
 
Ticha also said, the land which was green turned up side down, if you get the picture
 
umenikumbusha pindi la history. . .nakumbuka sababu mojawapo ya mmarekani kumpiga mjapani kipigo cha kihistoria ni: wakati huo U.S.A alikua amempani japan kinyama sababu JAPAN alikua yuko vizuri kwenye mauzo ya bidhaa zake kutokana na ubora wa bidhaa hizo ambapo U.S.A aliyumba sana kwenye mauzo yake ya bidhaa duniani na hata nchini kwake mpaka ikafika mahali akakataza bidhaa za japan zisiingie tena U.S.A.kwaio kwenye vita ya pili ya dunia U.S.A akapata nafasi yakumshambulia mjapani (mpinzani wake mkubwa sokoni)
Hata mie kanikumbusha mbali,kuna mchangiaji hapo kaelezea kuhusu mkopo wa silaha.
Ngoja nitiririke na mimi navyoelewa[emoji3][emoji3]
Mmarekani ambae katika vita ya kwanza ya dunia hakushiriki kabisa,hivyo akaanza kujikita katika utengenezaji wa silaha mbalimbali baada ya vita ya kwanza ya dunia.
Baada ha kuona chokochoko zinaanza za kupelekea vita ya pili,mmarekani alizidisha production ya silaha,na baada ya vita kuanza akaanza kutoa mikopo kwa wale waliounga ushirika na mbritish,lakini pia alitoa mikopo ya chakula baada ya nchi zao kupigwa na kuharibiwa vibaya kwa sababu ya WW2.
So,aliamua amchape mjapan baada ya kuona wale aliowakopesha wakifirigiswa moja kwa moja mikopo haitorejeshwa na atapata pigo kubwa kiuchumi na kuanguka kwa sababu ali invest pesa ndefu katika production ya silaha na vyakula kwa ajili ya nchi zinazo pigana WW2.
Na baada ya kuwanyamazisha Japan ambao walikuwa wanakuja kwa kasi katika vita ile mtaona hata washirika kama mjerumani waliishiwa nguvu na ku surrender.

WW2 na bomu hili lilichangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa uchumi wa USA na hili likapelekea taifa hili kuwa kubwa lenye uchumi mkubwa na ku fall kwa great british as a leading nation.
 
Walimu said" waliokuwa karibu na mlipuko waliundergo sublimation process nadhani, changing from solid to gas state without passing thru the liquid state na hata jivu halikubaki, then wajirani kiasi wali change into plastic material, (@all ni kifo) na wengine kuungua, Wa mbali sana walipata radiation effects, kuzaa watoto walemavu, eg hana mkono, au deformed babies, kidole kutokea kichwani, etc
kwahiyo kuchange huko ,ni kama kupotea hewani tu[emoji20] daah ilikua hatari sana.
yakija tena si watatumaliza tu!!

Hivi mpaka leo bado wanaathiriwa? wakati wa maeneo hayo? au hakuna makazi tena?
 
Back
Top Bottom