princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Habari wana Jf
nmekua nikisikia kuhusu hiroshima /nagasaki...
habari zinasema kulikubwa na janga la mabomu ya nyuklia
Yoyote mwenye historia atufahamishe tusojua.
Je yaitokeaje? yameathiri vipi mpaka leo? siku ya tukio ilikuaje??
naomba mnidadavulie wakuu