princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
- Thread starter
-
- #21
Niko na maswali mengi sana kuhusu haya mambo..Hata mie kanikumbusha mbali,kuna mchangiaji hapo kaelezea kuhusu mkopo wa silaha.
Ngoja nitiririke na mimi navyoelewa[emoji3][emoji3]
Mmarekani ambae katika vita ya kwanza ya dunia hakushiriki kabisa,hivyo akaanza kujikita katika utengenezaji wa silaha mbalimbali baada ya vita ya kwanza ya dunia.
Baada ha kuona chokochoko zinaanza za kupelekea vita ya pili,mmarekani alizidisha production ya silaha,na baada ya vita kuanza akaanza kutoa mikopo kwa wale waliounga ushirika na mbritish,lakini pia alitoa mikopo ya chakula baada ya nchi zao kupigwa na kuharibiwa vibaya kwa sababu ya WW2.
So,aliamua amchape mjapan baada ya kuona wale aliowakopesha wakifirigiswa moja kwa moja mikopo haitorejeshwa na atapata pigo kubwa kiuchumi na kuanguka kwa sababu ali invest pesa ndefu katika production ya silaha na vyakula kwa ajili ya nchi zinazo pigana WW2.
Na baada ya kuwanyamazisha Japan ambao walikuwa wanakuja kwa kasi katika vita ile mtaona hata washirika kama mjerumani waliishiwa nguvu na ku surrender.
WW2 na bomu hili lilichangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa uchumi wa USA na hili likapelekea taifa hili kuwa kubwa lenye uchumi mkubwa na ku fall kwa great british as a leading nation.
hivi mkuu Ni hiroshima na nagasaki tu ndio viliathiriwa au mpaka na maeneo ya jirani kulifikiwa na athari endelevu kama kensa?