Fahamu kuhusu HIROSHIMA & NAGASAKI

Sasa Mkuu dole gumba linawezaje kuw kubwa kama mlipuko jamani[emoji20]
 
kwahiyo mkuu
maeneo ya Hiroshima na Nagasaki bado sio salama kuishi au kutembelea?
 
Miongoni mwa madhara mengine ya ni ukuaji,watoto wanazaliwa na kuzeeka yaani ngozi zinasinyaa kama za wazee vile kwa haraka wakiwa katika umri mdogo.
Yaani hilo bom lilimake a huge damage.
 
Nimewahi fasta nikajua umeshusha nondo ila by the way ngoja na mimi nielezee kidogo.

Ilikuwa ni katika vita ya pili ya dunia ambapo ugomvi ulihusisha pande mbili Tripple entente ikihusisha British,France and Russia na Tripple alliance ikihusisha German,Italy and Japan.

Vita ilipiganwa sana ikaonekana Mbabe wa vita ambaye alibaki alikuwa ni Japan ndo ambaye akawa anagawa kichapo.Lakini mwaka 1943 kama sikosei Japan akafanya kosa kubwa sana akashambulia Port Herbel ya USA kama kisasi kwa sababu alikuwa anatoa misaada kwa maadui zake France na British.

Hapo Wamarekani wakafura hasira,Rais Harry Truman akaanzisha oparesheni na wanasayansi ya kutengeneza bomu ambalo wajapan hawatalisahau.Ndipo likatengenezwa likafanyiwa test huko new Mexico katika jangwa la Almagordo na mwaka 1945 Nagasaki na Hiroshima zikashambuliwa.

Mmarekani alichagua hii miji kwa sababu ilikuwa ndio ngome ya kivita kwa Japan.

Madhara yake ni mengi watu wengi walikufa,Miaka ya nyuma watu walikuwa wanazaliwa vilema ingawa kwa sasa rate inapungua na miti huwa haioti eneo lile.

Unaweza nisahihisha kama kuna mahali nimekosea.
 
Walitumia ndege kulishusha au waliingia kiujanja? Na siku ya tukio ilianza anzaje. Wajuvi wadadafue kidogo
 
Hapa ndo namkumbuka ze bold. Hapa angeanza kwa kuelezea location na hali ya hewa ya siku Iyo kwa picha na clip kibao [emoji3][emoji3][emoji3]
 
eti ni kweli marekan mpaka leo anamlipa fidia mjapani kwa sababu ya hilo bomu.
 
Baadhi ya maelezo nmeyasoma kwa wikipedia....
nataka kufahamu siku ya tukio kama kuna yeyote alishuhudia tukio hilo akapona....
palitokea reaction gani?

maana mitaani kuna fix nyingi mkuu, ndio maana nikaamua nije kwa Great thinkers
Ndio kuna waliopona, kuna mbibi mmoja nilimuona BBC alikua akielezea jinsi tukio lilivyotokea.Alikua anasema baada ya bomu kudondoshwa aliona kama jua limeshuka.
Ngoja nijaribu kukutaftia video nikiipata ntakuwekea uone.
 
intrusted... you may tell us more about this...
another time i will challenge our persident to fight a war against neighbour.. to show them we are strong and we have power [emoji4][emoji4]
 
Ndio kuna waliopona, kuna mbibi mmoja nilimuona BBC alikua akielezea jinsi tukio lilivyotokea.Alikua anasema baada ya bomu kudondoshwa aliona kama jua limeshuka.
Ngoja nijaribu kukutaftia video nikiipata ntakuwekea uone.
ina substittle? maana Lugha ya kusikiliza haipandi mkuu[emoji23]
 
Walitumia ndege kulishusha au waliingia kiujanja? Na siku ya tukio ilianza anzaje. Wajuvi wadadafue kidogo
Walitumia ndege ndio ....
lakini hio siku ilikuwaje kuwaje ndio hata mm natamani kujua
 
kwahiyo Hiroshima na Nagasaki hakuna uoto wa asili ?au ni eneo lile lilipotua bomb?
 
Halafu nasikia hata halikuwa la Nyuklia ni atomic, na nimesikia liko chini ya haya ya sasa ya Nyuklia,,,, sasa kama ni kweli, mziki wa Nyuklia sijui hata utakuwaje.
 
Halafu nasikia hata halikuwa la Nyuklia ni atomic, na nimesikia liko chini ya haya ya sasa ya Nyuklia,,,, sasa kama ni kweli, mziki wa Nyuklia sijui hata utakuwaje.
Hiroshima walilipua Nyuklia
Nagasaki Atomic bomb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…