princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
- Thread starter
- #41
TutakwishaSasa kama bomu la Nyuklia la miaka ya 1945 lilileta madhara hayo, vp Hydrogen la sasa ambalo inasemekana ni zaidi ya Nyuklia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TutakwishaSasa kama bomu la Nyuklia la miaka ya 1945 lilileta madhara hayo, vp Hydrogen la sasa ambalo inasemekana ni zaidi ya Nyuklia?
Sasa Mkuu dole gumba linawezaje kuw kubwa kama mlipuko jamani[emoji20]Sio kweli bomu la nyuklia haliigeuzi ardhi juu chini labda hydrogen bomb (if im not mistaken).
Bomu la Nyuklia linapotua/lipukia linachofanya ni linaenda kutengeneza umbo la mushroom(uyoga) angani then lile umbo duara ambayo ni heatwave inaporudi chini kwa kusambaa pande zote ndipo ile txt pendwa "imethibitishwa xxxx amepokea..." inapokamilika 😉..
NB: nilisoma sehemu, bomu la nyuklia likipigwa ukainua dole gumba kuelekea lilipopigwa, dole gumba likiwa kubwa kuliko hilo umbo(uyoga) then kuna asilimia kubwa upo radiation free zone, lakini dole likiwa dogo kuliko mlipuko(uyoga) sali tu!..
em Tuone cover lakeni nzuri na inatusha pia
kwahiyo mkuu![]()
moja kati ya madhara makubwa iliyokumbana nayo japan ni pamoja na madhara ya mionzi iliyosababishwa na mabomu hayo,kuna madhara ya muda mfupi na muda mrefu.. hiyo picha hapo juu hayo ni madhara ya muda mfupi,kuna ya muda mrefu ambapo yamesababisha kansa vizazi kwa vizazi,matatizo ya akili(IQ ndogo,mtoto kuwa na ubongo mdogo),haya mabomu si ya mchezomchezo kwani huaribu hadi system ya genetic!,mtoto anazaliwa hana kiungo fulani au kipo eneo lisilo husika n.k n.k
ndio maana ha mmarekani na yule mr kiduku wamebaki kutunishiana misuli tu,maana wanaelewa yale mabomu ni ushetani wa kiwango cha tope!.
imewachukua miaka mingi sana wajapan ku cover kiafya mfano mpk kufikia miaka ya 90 kansa zilizosababishwa na nyuklia bado zilikuwa zimebaki kama asilimia 9%.
Miongoni mwa madhara mengine ya ni ukuaji,watoto wanazaliwa na kuzeeka yaani ngozi zinasinyaa kama za wazee vile kwa haraka wakiwa katika umri mdogo.![]()
moja kati ya madhara makubwa iliyokumbana nayo japan ni pamoja na madhara ya mionzi iliyosababishwa na mabomu hayo,kuna madhara ya muda mfupi na muda mrefu.. hiyo picha hapo juu hayo ni madhara ya muda mfupi,kuna ya muda mrefu ambapo yamesababisha kansa vizazi kwa vizazi,matatizo ya akili(IQ ndogo,mtoto kuwa na ubongo mdogo),haya mabomu si ya mchezomchezo kwani huaribu hadi system ya genetic!,mtoto anazaliwa hana kiungo fulani au kipo eneo lisilo husika n.k n.k
ndio maana ha mmarekani na yule mr kiduku wamebaki kutunishiana misuli tu,maana wanaelewa yale mabomu ni ushetani wa kiwango cha tope!.
imewachukua miaka mingi sana wajapan ku cover kiafya mfano mpk kufikia miaka ya 90 kansa zilizosababishwa na nyuklia bado zilikuwa zimebaki kama asilimia 9%.
Ndio kuna waliopona, kuna mbibi mmoja nilimuona BBC alikua akielezea jinsi tukio lilivyotokea.Alikua anasema baada ya bomu kudondoshwa aliona kama jua limeshuka.Baadhi ya maelezo nmeyasoma kwa wikipedia....
nataka kufahamu siku ya tukio kama kuna yeyote alishuhudia tukio hilo akapona....
palitokea reaction gani?
maana mitaani kuna fix nyingi mkuu, ndio maana nikaamua nije kwa Great thinkers
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]VITA YA 3 YA DUNIA IKITOKEA BASI DUNIA NZIMA YAWEZA KUGEUKA GAS MATERIAL
BWAHAHAHAHA
intrusted... you may tell us more about this...![]()
moja kati ya madhara makubwa iliyokumbana nayo japan ni pamoja na madhara ya mionzi iliyosababishwa na mabomu hayo,kuna madhara ya muda mfupi na muda mrefu.. hiyo picha hapo juu hayo ni madhara ya muda mfupi,kuna ya muda mrefu ambapo yamesababisha kansa vizazi kwa vizazi,matatizo ya akili(IQ ndogo,mtoto kuwa na ubongo mdogo),haya mabomu si ya mchezomchezo kwani huaribu hadi system ya genetic!,mtoto anazaliwa hana kiungo fulani au kipo eneo lisilo husika n.k n.k
ndio maana ha mmarekani na yule mr kiduku wamebaki kutunishiana misuli tu,maana wanaelewa yale mabomu ni ushetani wa kiwango cha tope!.
imewachukua miaka mingi sana wajapan ku cover kiafya mfano mpk kufikia miaka ya 90 kansa zilizosababishwa na nyuklia bado zilikuwa zimebaki kama asilimia 9%.
ina substittle? maana Lugha ya kusikiliza haipandi mkuu[emoji23]Ndio kuna waliopona, kuna mbibi mmoja nilimuona BBC alikua akielezea jinsi tukio lilivyotokea.Alikua anasema baada ya bomu kudondoshwa aliona kama jua limeshuka.
Ngoja nijaribu kukutaftia video nikiipata ntakuwekea uone.
kwakweliHapa ndo namkumbuka ze bold. Hapa angeanza kwa kuelezea location na hali ya hewa ya siku Iyo kwa picha na clip kibao [emoji3][emoji3][emoji3]
Walitumia ndege ndio ....Walitumia ndege kulishusha au waliingia kiujanja? Na siku ya tukio ilianza anzaje. Wajuvi wadadafue kidogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]ina substittle? maana Lugha ya kusikiliza haipandi mkuu[emoji23]
kwahiyo Hiroshima na Nagasaki hakuna uoto wa asili ?au ni eneo lile lilipotua bomb?Nimewahi fasta nikajua umeshusha nondo ila by the way ngoja na mimi nielezee kidogo.
Ilikuwa ni katika vita ya pili ya dunia ambapo ugomvi ulihusisha pande mbili Tripple entente ikihusisha British,France and Russia na Tripple alliance ikihusisha German,Italy and Japan.
Vita ilipiganwa sana ikaonekana Mbabe wa vita ambaye alibaki alikuwa ni Japan ndo ambaye akawa anagawa kichapo.Lakini mwaka 1943 kama sikosei Japan akafanya kosa kubwa sana akashambulia Port Herbel ya USA kama kisasi kwa sababu alikuwa anatoa misaada kwa maadui zake France na British.
Hapo Wamarekani wakafura hasira,Rais Harry Truman akaanzisha oparesheni na wanasayansi ya kutengeneza bomu ambalo wajapan hawatalisahau.Ndipo likatengenezwa likafanyiwa test huko new Mexico katika jangwa la Almagordo na mwaka 1945 Nagasaki na Hiroshima zikashambuliwa.
Mmarekani alichagua hii miji kwa sababu ilikuwa ndio ngome ya kivita kwa Japan.
Madhara yake ni mengi watu wengi walikufa,Miaka ya nyuma watu walikuwa wanazaliwa vilema ingawa kwa sasa rate inapungua na miti huwa haioti eneo lile.
Unaweza nisahihisha kama kuna mahali nimekosea.
Tuseme ukweli mzungu akiongea simuelewi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu nasikia hata halikuwa la Nyuklia ni atomic, na nimesikia liko chini ya haya ya sasa ya Nyuklia,,,, sasa kama ni kweli, mziki wa Nyuklia sijui hata utakuwaje.![]()
moja kati ya madhara makubwa iliyokumbana nayo japan ni pamoja na madhara ya mionzi iliyosababishwa na mabomu hayo,kuna madhara ya muda mfupi na muda mrefu.. hiyo picha hapo juu hayo ni madhara ya muda mfupi,kuna ya muda mrefu ambapo yamesababisha kansa vizazi kwa vizazi,matatizo ya akili(IQ ndogo,mtoto kuwa na ubongo mdogo),haya mabomu si ya mchezomchezo kwani huaribu hadi system ya genetic!,mtoto anazaliwa hana kiungo fulani au kipo eneo lisilo husika n.k n.k
ndio maana ha mmarekani na yule mr kiduku wamebaki kutunishiana misuli tu,maana wanaelewa yale mabomu ni ushetani wa kiwango cha tope!.
imewachukua miaka mingi sana wajapan ku cover kiafya mfano mpk kufikia miaka ya 90 kansa zilizosababishwa na nyuklia bado zilikuwa zimebaki kama asilimia 9%.
Hiroshima walilipua NyukliaHalafu nasikia hata halikuwa la Nyuklia ni atomic, na nimesikia liko chini ya haya ya sasa ya Nyuklia,,,, sasa kama ni kweli, mziki wa Nyuklia sijui hata utakuwaje.