Walitumia ndege iliyopewa jina la enola gay, jina la mamake rubani aliyepewa jukumu la kwenda kuangusha hilo bomu lililopewa jina la little boy(kijana mdogo). Kwenye mji wa Hiroshima. Baadae ndege hii ilitumika tena kuangusha bomu kwenye mji wa Nagasaki lililopewa jina la fat man