Mbali na hivyo japan bado aliendelea kuwashwawashwa! nakutuma majeshi yake mbele kuendeleza WW2!.
U.S.A nayo haikuchoka,bado ilitaka kuionyesha dunia kuwa amejidhatiti vilivyo ktk anga za mapigano!.
siku tatu mbele yani tarehe 9 agosti 1945 mji wa nagasaki tena uliangamizwa kwa bomu lakinyukilia lililodondoshwa na Bomber B-29,Ambapo takribani watu 40000 walipoteza maisha..
kiujumla inakadiliwa kuwa takribani watu 129000 walipoteza maisha kutokana na mabomu hayo,hivyo kufuatia kipigo hicho cha mbwa mwitu,japan ili sarenda nakurudisha wanajeshi nyumbani kulikokuwa na kilio cha kusaga mapengo!!.
kwanini hiroshima na nagasaki..?
hii ndio ilikuwa miji iliyokuwa na uzalishaji na miundombinu kadhawakadha,hivyo watesi wao walionelea ni vyema kuwaharibia miji hiyo ili kukosa nguvu yakiuchumi hivyo wasingeweza kuendelea na vita hiyo.
Lengo kuu ilikuwa ni kustopisha WW2.
madhara yaliyoletwa na mabomu hayo ni pamoja na..
vifo,kuharibiwa kwa miundombinu mbali na hayo najua unashauku ya kujua zile radiation... naja.