Fahamu kuhusu kada ya biotechnology (bioteknolojia) na majukumu ya wataalamu wa bioteknolojia

Nani anatengeneza monoclonal antibodies? Nani anatengeneza vaccine? Nani anatengeneza biologics? Hizo compounds ulizopost ni synthetic molecules, isitoshe unaposema biotechnology means ni mtu aliesoma hivyo vyote ulivyovitaja (biochemistry tena very deep, medicinal chemistry, organic chemistry hadi physics na microbiology)
 

Kijana wangu mambo yamebadilika hizo organic siku hizi tunaingiza kwenye computer tu.,zipo software nyngi tu kama WODCA, CHIRON, SynGen, ICSynth zote hizo nyepesi kutumia ila uwe na foundation tu..Kwa sasa tuna COMBINATORY CHEMISTRY na COMPUTER AIDED Drug design vitu kama hivi tafuta kwanza uje na facts


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sijafuatilia sana, ila Chuo Kikuu nilichosoma Health na Medical Lab Scientists walikuwa wanasoma Molecular Biology.

Hao hao pia wanafanya kazi kwenye Molecular Laboratories nyingi tu wakati sio Biotechnologists.

Fuatilia.

Sawa sawa mkuu..Je swali n kwamba kufanya kaz katka molecular Labs sio kigezo lakini je ni Lab inafanya Tasks gani?Huwez kuniambia hao watafanya SEQUENCING,PCR na BIOINFORMATICS naomba fuatilia kwa ukaribu zaidi tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sijafuatilia sana, ila Chuo Kikuu nilichosoma Health na Medical Lab Scientists walikuwa wanasoma Molecular Biology.

Hao hao pia wanafanya kazi kwenye Molecular Laboratories nyingi tu wakati sio Biotechnologists.

Fuatilia.


For more insight ningependa angalia hii video how biotechnology has gone far...



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii kada ina pesa nzuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuongezea, hakuna pharmaceutical compound inayoweza tumika kwenye mwili bila kua na knowledge ya drug target (receptors, ligands, Au microbial cellular parts kama cell walls, plasma membrane, Nucleus, au nucleic acid target) na mtaalamu wa kusoma hizo drug targets ni MOLECULAR biologist na moja ya njia zinazotumika kusoma hizo target ni Nuclear magnet resonance imaging (NMR), au X-ray crystallography.

Kuna field ya biomedicine inaitwa bioinformatics mtu wa medical lab hasomi at all wala Daktari, mtu wa Biotechnology au Microbiology anasoma. Na hii ni kitovu cha medical research hasa katika kutafiti novel strain kwa computer simulations. How can you find out a viral or bacterial mutations kama haujui kitu kuhusu BIOINFORMATICS?

Medical personnel (medical labs, MDs) hawafanyi research za Molecular levels wanafanya tafiti za epidemiology, statistics based research, wakifanya experimental basi mwisho wao ni Cell Biolog.

How can you produce Vaccine pasipo na Knowledge ya Bioinformatics? Pasipo na knowledge ya Genetic engineering/Recombinant DNA technology?
Tatizo watu hawajui vitu na hawaamini kua sayansi inaendelea wakisoma medical labs au Md wanahisi wamemaliza which is not true, sayansi inaendelea na iko deep.
Mtu wa biotechnology anasoma kuja kua researcher na sio kwaajili ya kufanya qualitative and quantitative laboratory measurements.
Medical Lab na MD wanasoma Microbiology pamoja na immunology.
Biotechnology wanasoma kozi sita separate ili wawe deep zaidi; hizi ni:
Medical bacteriology as a course
Medical Virology as a course
Medical mycology as a course
Parasitology as a course
Entomology as a course hapa Medical lab wanamix parasitology na entomology.
Biotechnology wanasoma Molecular virology, MD wala medical lab hawasomi at all halafu bado wanasema wanawajua virus. While they know introduction to virus.

Huu ni uchambuzi wa microbiology Tu hizo courses unawezaje kua deep kwa kuchanganya zote tena unasoma semester moja.

Immunology
Mtu wa biotechnology anasoma immunology yote.
Immunology 1
Immunology 2
Immunology 3

Biochemistry 1
Biochemistry 2
Biochemistry 3

Molecular biology 1
Molecular biology 2
Molecular cell biology
Molecular developmental biology

Organic Chemistry 1
Organic Chemistry 2
Analytical chemistry

Biostatistics 1 &2
Bioinformatics 1 & 2

Watu wa medical lab hawasomi Genetics how are you going to do research on mutagenesis ya hao pathogens?

Hausomi downstream processing unawezaje zalisha enzymes au other proteins for medical use??

Tanzania ifike wakati tukubaliane katika sayansi kila mmoja anaumuhimu kwenye eneo lake.
Watu wa MD, na Medical labs wameandaliwa kwaajili ya Clinical environment, kutoa huduma kwa wagonjwa.
Bio technologists and other scientists kama microbiologist wameamdaliwa kwaajili ya research laboratories huko watafanya uvumbuzi utakao kua applied na medical personnel.

Mtu anaandika formula ya kutengeneza chloroquine bila kujua organic chemistry ni semehu ya biotechnology. Yaani neno Tu Biotechnology mtu hajui maana yake nini, wewe ni mwanasayansi wa dunia gani ambae hujui Biotechnology ni nini wakati mbinu zote za upimaji magonjwa maabara zinatokea kwenye biotechnology.
Watu wa Medical lab wanatumia Monoclonal antibodies kupima blood group lakini maskini ya Mungu hawajui nani anazalisha Hizo antibodies.

Kwa ufupi hiyo ni hybridoma technology (Cancer cell + normal cell fusion) najua sio rahisi kuelewa lakini ifike wakati mjue mwanasayansi makini sio SELFISH, Mwanasayansi makini anathamini mchango wa mwenzie kama ambavyo watu wa biotechnology wanavowategemea MD na Medical labs au Pharmacists
THINK BIG THINK BIG THINK BIG

Na huu ujinga bado upo Tanzania Tu nenda US, nenda China, India, Italy nenda Kenya au fuatilia google utagundua Biotechnology ndio kitovu cha Life Sciences reseach. Bill gates aliwahi ulizwa akirudi shule Leo ataamua kusoma nini akajibu Biotechnology and computer science coz ndo fields zinazokua kwa kasi sana. TUBADILIKE TANZANIA TUKO NYUMA SANA KWA SABABU ZA UJINGA TU NA UBINAFSI.

Swali TANZANIA IKIPIGWA NA BIOLOGICAL WEAPON ya virus au engineered bacteria MD au MEDICAL LAB scientist ataanzia wapi ikiwa hajui hata kufanya DNA extraction?

Ikiwa hajui hata Bioinformatics (Computational biology) hajui chochote kuhusu Nucleic acid Sequencing?

Ikiwa hajui chochote kuhusu Downstream processing anawezaje hata purify antibodies?

Ikiwa hajui chochote kubusu NMR
Au Mass spectroscopy anawezaje hata kutambua poisonous proteins?

Guys Kila mtu aheshimu professional ya mwenzie sayansi hakuna anaeijua yote ndo mana kuna specialization sasa Tanzania mtu akisoma Tu Medical school anaona mtu alietokea Udsm au SUA hajui kitu kumzidi yeye huo ni ufinyu wa fikra. Sayansi is wide.

Prepared by Modern scientist.
 
Ki vipi embu lete udambu udambu wa kututamanisha
1. Wataalam ni wachache sana so demand ni kubwa.
2. Technology inabadilika kila siku kwenye mitambo hiyo ukiendana na mabadiliko hayo kwa maana ya kufanya training mbalimbali unakuwa mtu special sana.
3. Wataalam wa Maabara/Hospital hawana ujanja kama mashine hizi zimegoma.
4. Ukiajiriwa unakuwa na mshahara mkubwa na utafanyakazi country wide kwakuwa demand ni kubwa.

Huwa nawafananisha na wale waongoza ndege ambao wapo chini. Wagigoma ujue hakuna ujanja lazima uwasikilize hoja zao ama ndege zisiruke. Wanamshahara mzuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Dyf
Kuna medical lab scientists (degree) hawa wanaweza kufanya utafiti tofauti na laboratory technologists

Sent using Jamii Forums mobile app
Hajui kutofautisha baina ya medical lab technologist wala medical lab scientist.
Medical lab scientist wanasoma molecular biology vzuri tu. Na hizo mambo ya monoclonal antibody development hizo zote unasoma ayo mambo ya hybridoma nani hayajui mzee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikatai kuwa Biotechnologist wana mchango mkubwa sana tena sanna tu ila sio unavyotuaminisha na kuponda wengine.
Biotechnologist hawezi kufany kazi zote anazofany medical lab personnel sio unavyotuaminisha kuwa kazi zote anaweza kufany za medical lab.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Medical lab wanasoma PCR sio Molecular biology. zaidi wanasoma Molecular biology tools tena application tu watu wanasoma Molecular biology three years na sio topic, Unasema unajua hybridoma technology je ulishawahi kuifanya? Ni sawa na mimi navojua kuhusu surgery na siwezi kuifanya. Uliwahi fanya any kind of Genetic engineering? What do you know about bioinformatics?
Medical lab is for Clinical settings, Biotechnology is for research. Lazima ujue mikapa yako katika levels za sayansi kua medical lab ni kwaajili ya kufanya vipimo in hospital labs na biotech ni for research and development ndo mana biotechnologist hawasomi ethics za medical lab bali wanasoma Biotechnology ethics je unajua kua moja ya Ethical concern kwa Biotechnologists ni issue za kutengeneza viumbe labs kama Virus and bacteria au Human cloning? Mtu wa medical lab anaanzia wapi kufanya Genetic engineering kutengeneza a novel strain?

Ifike wakati Tanzania [emoji1241] tubadilike Biotechnology sio na haiwezi kua Medical lab and vice-versa is true.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni molecular biology hiyo unayoijua wewe.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chapisho zuri
 
Yote haya umekariri na kuyandika ? Au ndo copy and paste from Google.
 
Yote haya umekariri na kuyandika ? Au ndo copy and paste from Google.
Mtaani kwetu najulikana kwa jina la mkemia mkuu wa serikali hakuna reaction nisiyo ijua duniani hadi catalyst zake na mechanism nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…