Fahamu kuhusu kifafa cha mimba: Dalili hatari inayoweza kuondoa uhai wa mjamzito

Fahamu kuhusu kifafa cha mimba: Dalili hatari inayoweza kuondoa uhai wa mjamzito

Hospitali ya Taifa Muhimbili

Public Institution
Joined
Apr 9, 2026
Posts
13
Reaction score
38
Je, wajua kuwa kifafa cha mimba ni hali hatarishi inayoweza kuhatarisha maisha ya mama na mtoto ikiwa haitapatiwa matibabu kwa wakati?

Dkt. Jofrey Marandu, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Kike na Uzazi kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, anaeleza kwa kina nini cha kufanya pale mjamzito anapopata kifafa cha mimba, dalili zake, pamoja na umuhimu wa kupata huduma ya haraka ya kitabibu.
 
Ninemkumbuka mama mmoja muumini wa Mwamposa alikua anaenda zake Kawe na mimba yake akapigwa na kifafa kwenye daladala kazindukia muhimbili!!
Madaktari walijitahidi kumuelewesha Nini kilimtokea hakubali yeye anaamini alikumbwa na jinamizi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hospitali ya Taifa Muhimbili mke wangu ni mjamzito,alienda kliniki ya kwanza ijumaa ya wiki iliyopita, akapewa matibabu na wakamchoma sindano ya bega, sasa bega ninauma tangu siku hiyo,afanye nini? Ahsante.
 
Back
Top Bottom