Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

Lima nyasi uwe unafunga hay unauzia wanenepeshaji wa ng'ombe!
 
Kwani zinaweza kukua sehem yeyote au ni Tanga pekeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada
Mpela mpela tu mpaka kieleweke mkuu

Ova
Mkuu nataka nianze biashara ya kununua mazao nataka kuanza na iliki sasa naomba maongez binafsi na ww nipe namba yako tuwasaliane
 
Msaada Mkuu nataka nianze biashara ya kununua mazao nataka kuanza na iliki sasa naomba maongez binafsi na ww nipe namba yako tuwasaliane
Msimu umeshaisha sahv mkuu
Sana sana shambani wanauza kg 1 20000 shambani iliki kavu

Ova
 
Kwa debe bei gani
Sasa pm nakutumia namba yangu
Tubonge mm ntakulink kwa wakulima moja kwa moja hko usambara mountain's
Ambao hao wananikusanyiaga na mm

Usijali mm syo mchoyo wa connection

Ova
 
Sasa pm nakutumia namba yangu
Tubonge mm ntakulink kwa wakulima moja kwa moja hko usambara mountain's
Ambao hao wananikusanyiaga na mm

Usijali mm syo mchoyo wa connection

Ova
Nitashukuru Sana kwa kweli
 
Duh bei ni 14000 mpk 15000 sahv kununua!
Hao waliwapiga labda wameona mlitaka ya matumizi binafsi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app


Siyo, wao walienda huko wakiwa wamevaa mikufu na hereni za Gold na "makeup" kibao. 😁😁

Wakulima nao huwa wanaangalia hali za wateja (personality).
 
Ntakunganisha na jamaa zangu wa shambani usiogope......
Hata mm nimeuza sana mombasa na kampala

Ova
Mkuu samahani kipindi unafanya kusafirisha ulitumia maloli au mabasi ya abiria je kuna ushuhuru wowote au documents ambazo unatakiwa uwe nazo msaada pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…