Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

Lima nyasi uwe unafunga hay unauzia wanenepeshaji wa ng'ombe!
 
Mashamba makubwa ya pilipili manga yanapatikana Amani Muheza Tanga. Huko ulikoenda mkuu wako kwenye majaribio kama eneo lao linafaa kwa kilimo cha pilipili manga. Nakushauri tembelea Amani Muheza ukajionee mwenyewe kilimo cha mazao ya viungo, kwa taarifa karafuu ya amani ni nzuri kuliko ya karafuu ya Pemba. Zipo daladala nyingi zinanzia safari Muheza kupitia milima ya Usambara Mashariki hadi Amani, ni mwendo wa saa moja kutoka Muheza.



Pilipili manga siyo zao la msimu, ukiwa na chanzo kizuri cha maji ya kunyweshea shamba utakuwa na mzigo wa kupeleka sokoni kila mwezi.
Kwani zinaweza kukua sehem yeyote au ni Tanga pekeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada
Mpela mpela tu mpaka kieleweke mkuu

Ova
Mkuu nataka nianze biashara ya kununua mazao nataka kuanza na iliki sasa naomba maongez binafsi na ww nipe namba yako tuwasaliane
 
Msaada Mkuu nataka nianze biashara ya kununua mazao nataka kuanza na iliki sasa naomba maongez binafsi na ww nipe namba yako tuwasaliane
Msimu umeshaisha sahv mkuu
Sana sana shambani wanauza kg 1 20000 shambani iliki kavu

Ova
 
Kwa debe bei gani
Sasa pm nakutumia namba yangu
Tubonge mm ntakulink kwa wakulima moja kwa moja hko usambara mountain's
Ambao hao wananikusanyiaga na mm

Usijali mm syo mchoyo wa connection

Ova
 
Sasa pm nakutumia namba yangu
Tubonge mm ntakulink kwa wakulima moja kwa moja hko usambara mountain's
Ambao hao wananikusanyiaga na mm

Usijali mm syo mchoyo wa connection

Ova
Nitashukuru Sana kwa kweli
 
Duh bei ni 14000 mpk 15000 sahv kununua!
Hao waliwapiga labda wameona mlitaka ya matumizi binafsi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app


Siyo, wao walienda huko wakiwa wamevaa mikufu na hereni za Gold na "makeup" kibao. 😁😁

Wakulima nao huwa wanaangalia hali za wateja (personality).
 
Ntakunganisha na jamaa zangu wa shambani usiogope......
Hata mm nimeuza sana mombasa na kampala

Ova
Mkuu samahani kipindi unafanya kusafirisha ulitumia maloli au mabasi ya abiria je kuna ushuhuru wowote au documents ambazo unatakiwa uwe nazo msaada pls
 
Back
Top Bottom