Electric Drive
Senior Member
- Nov 2, 2016
- 113
- 87
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza nataka kujua ni wapi Iliki inalimwa/inapatikana kwa wingi ktk mkoa tajwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli hiyo mikoa uliyotaja inapatikana.Nilitaka nijue kwa upande wa Mbeya pia.Ngoja waje wajuzi wasaidie ukishindwa unaweza kitafuta Tanga na Morogoro kama nitakuwa sijakosea
Asante mkuuMbeya hiriki inalimwa Ileje ndo inakopatikana
Uwezo wako ndio umeishia hapoDukani kwa sugu
Mkuu fika ileje kuna sehemu inaitwa kijiji cha sange hapo utapata ya kutoshaWakuu kama kichwa kinavyojieleza nataka kujua ni wapi Iliki inalimwa/inapatikana kwa wingi ktk mkoa tajwa.View attachment 646405
Asante,sijawahi kufika nikipata contacts za wadau wa huko ili nijue hali ilivyo kabla sijafunga safari itakuwa vzuriMkuu fika ileje kuna sehemu inaitwa kijiji cha sange hapo utapata ya kutosha
Thanks,una connection kule mkuu?Mzee iliki zipo ileje za kumwaga
ThanksIleje