Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
MitatuAnaliwa baada ya miez mingap?
Mkuu niuzie wachache Kama unao wengiSio pasua kichwaa kuwafuga, Asubuh nawaachia jioni wanarudi zao Bandani
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo wapi mkuuMkuu niuzie wachache Kama unao wengi
Mkuu niko Dodoma ktk wilaya jirani ya bahiUpo wapi mkuu
OK ungekuwa maeneo ya arusha na viunga vyake tungefanya biashara boss jaribu kucheki wa karibu hapo domMkuu niko Dodoma ktk wilaya jirani ya bahi