Fahamu kuhusu kuku aina ya SASSO

Fahamu kuhusu kuku aina ya SASSO

Ongeza minofu kidogo, kama, kuku mkubwa anafikia kilo ngapi, ni wazuri kwa nyama au mayai au vyote, n.k.
 
Ndio maana kwenye ule uzi unawaponda hawa kuku ulifuga ukapigwa za uso afu unaamini wote watapigwa za uso
 
Hawa kuku mbona hata kwetu walikuapo mda mrefu tuu
Na yupo mjomba angu anao au ndo mnatubadlishia majna tu il wapate promo kwakua wao wazungu
 
Back
Top Bottom