Magari mengi taa ya OD inapaswa kuwaka Kama Ikimaanisha Over drive iko Off, Na iwe Imezima ikamaanisha OverDrive iko On.
Sasa nimegundua wengi wakiona taa inawaka huminya Button ili izime Kumbe ndio wameweka kwnye OD.
Kawaida taa ya Over Drive ikiwa on gari huwa nyepesi sana na inatafuna sana mafuta...taa ikizima means Over Drive iko off na ndio normality yake....make sure km upo mjini au sehemu ambayo huhitaji kuendesha speed kali taa ya OD iko off ili ku-serve mafuta???
Nadhani umeenda kinyume kwa mujibu wa mleta uzi. OD ikiwaka kwenye dashboard ujue ipo OFF na ikiwa imezimwa kwenye dashboard ujue OD ipo ON.
kwa ufahamu wangu od ikiwa off yaani taa kwenye dashboard inawaka fuel consumption inakuwa low na speed inafika hadi 130 km/h na fuel rotation haipandi kuzidi 3 lakini od ikiwa on yaani taa imezima fuel consumption lazima itakuwa kubwa sbb umeweka extra power na hapo speed ni hadi unamaliza dashboard na rotation inafika 5.
Ushauri: Usiendeshe gari od ikiwa on kwa maeneo ya mjini sbb ni wastage of fuel na kama upo long safar weka od on kama una overtake tu na si vinginevyo.
mi nnachokiona hapa ni kuwa watu wengi hawaelewi maana ya taa za kwenye dashboard ya gari...kwa kawaida taa yoyote inayowaka kwenye dashboard maana yake kuna kitu cha ziada(si kawaida) kinaendelea kwwnye gari yako na ndo maana ile taa inaku alert!! So kwa hali ya kawaida kabisa unatakiwa kuendesha gari yako wakati taa zote za dashboard ziwe off..manake mnavyoelezana hapa mwisho wengine watasema hata ukiona taa ya ile alama ya seatbelt maana yake umefunga mkanda...dashboard huwa inakuoa alert mbalimbali za gari yako kwa kutumia taa ...so ukiona od inaonekana kwenye dashboard yako maana yake si sahihi kuendesha katika mazingira ya kwaida unless kwenye yale matumizi yalioidhinishwa ya od kama kwenye mlima au unaovertake..full stop.
na kama na huyu hamjamwelewa basi hakuna haja ya kuwepo humu
Aiseee mnatuchanganya sana,hivi wakuu kautaratibu ka picha mmekasahau? Tupieni picha kuwa OD ikiwa on itakuwa hivi na unatumia maelezo,na OD ikiwa off iko hivi unatupa melekezoo,bila ya picha vichwa vishavurugwa na usemi AMEKATWA!😕
Kwanza sina gari mnanisumbua tu
Hii kitu tumeelezea hapa jamvini mara nyingi lakini bado watu wanakuja na theory zao za kufikirika. Maelezo yako hapa ni sawa 100%. Kama unaendesha gari ndogo automatic wewe acha OD on na wala usibadilishe unless kuna utelezi au unavuta trailor. Simple as that👌kwenye gari lako kama gear box(manual transmission) no gear 1 - 5 basi hiyo namba tano ndo overdrive..in other words its allows the engine to operate at a lower rpm when your car wants to engage its top most gear for speed with better fuel efficiency.kwenye automatic,ikiwa off inalimit ibaki kwenye low gears so it puts more strain kwenye gear box.wanashauri uweke Off kama unavuta trailer au una mzigo mzito
Endelea kutoa elimu usichoke mkuu gari za automatic pamoja na kwamba ni simple kuendesha ila wengi hawatambui matumizi ya gear lever na hata mafundi wa garage kila mtu anakuwa na maelezo yake linapokuja suala la automatic transmissionHii kitu tumeelezea hapa jamvini mara nyingi lakini bado watu wanakuja na theory zao za kufikirika. Maelezo yako hapa ni sawa 100%. Kama unaendesha gari ndogo automatic wewe acha OD on na wala usibadilishe unless kuna utelezi au unavuta trailor. Simple as that👌
Bado hujazungumza kitu mleta mada. Tuambie kama OD ikiwa on inaongeza kiwango cha ulaji mafuta au vinginevyo.
Overdrive in a car helps your car run at lower rpm's, such as when you are driving down the highway, to help you save gas. It is a "taller" gear designed to let your car cruise at higher speed without stressing the engine. D2 and D3 are two transmission settings, and is settings for what gear you want to put your vehicle in, by locking that in as the highest recommended gear. It will either allow you to run in second (d2) or third (d3) in case you need more power.
kama usipoelewa na maelezo haya .....
Nilitarajia utaweka faida ya O/D kuwa off.