Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

kwenye gari lako kama gear box(manual transmission) no gear 1 - 5 basi hiyo namba tano ndo overdrive..in other words its allows the engine to operate at a lower rpm when your car wants to engage its top most gear for speed with better fuel efficiency.kwenye automatic,ikiwa off inalimit ibaki kwenye low gears so it puts more strain kwenye gear box.wanashauri uweke Off kama unavuta trailer au una mzigo mzito
 
Magari mengi taa ya OD inapaswa kuwaka Kama Ikimaanisha Over drive iko Off, Na iwe Imezima ikamaanisha OverDrive iko On.

Sasa nimegundua wengi wakiona taa inawaka huminya Button ili izime Kumbe ndio wameweka kwnye OD.

Kwa urahisi kabisa, gari ya automatic ikiwa inaendeshwa TAA ZOTE za kwenye DASH BOARD zinatakiwa ziwe zimezimika isipokuwa ya D (Drive) tu. Ulichosema si sahihi. Labda iwe usiku umewasha taa kutakuwa na indicator inawaka kwenye dash board. Hiyo ndiyo Default.
 
mi nnachokiona hapa ni kuwa WATU WENGI HAWAELEWI MAANA YA TAA ZA KWENYE DASHBOARD YA GARI...kwa kawaida TAA YOYOTE INAYOWAKA KWENYE DASHBOARD MAANA YAKE KUNA KITU CHA ZIADA(SI KAWAIDA) KINAENDELEA KWWNYE GARI YAKO NA NDO MAANA ILE TAA INAKU ALERT!! so kwa hali ya kawaida kabisa unatakiwa kuendesha gari yako wakati taa zote za dashboard ziwe off..manake mnavyoelezana hapa mwisho wengine watasema hata ukiona taa ya ile alama ya seatbelt maana yake umefunga mkanda...Dashboard huwa inakuoa alert mbalimbali za gari yako kwa kutumia taa ...so ukiona OD inaonekana kwenye dashboard yako maana yake si sahihi kuendesha katika mazingira ya kwaida unless kwenye yale matumizi yalioidhinishwa ya OD kama kwenye mlima au unaovertake..FULL STOP.
 
Kawaida taa ya Over Drive ikiwa on gari huwa nyepesi sana na inatafuna sana mafuta...taa ikizima means Over Drive iko off na ndio normality yake....make sure km upo mjini au sehemu ambayo huhitaji kuendesha speed kali taa ya OD iko off ili ku-serve mafuta???

Labda kwa toleo jipya la gari. Taa inapowaka inaandika wazi kabisa OD OFF. Sasa sielewi unakusudia kubishana na dashboard?
 
Taa ya OD haitakiwi kuwaka kwenye dashboard pindi uendeshapo gari,
Kazi ya OD ni kupunguza speed ya gari pale unapokiwa above 100, ko ikiona taa ya OD imewaka ujue OD ipo OFF, hutaweza kuendesha gari zaidi ya speed 100.
 
kwa ufahamu wangu od ikiwa off yaani taa kwenye dashboard inawaka fuel consumption inakuwa low na speed inafika hadi 130 km/h na fuel rotation haipandi kuzidi 3 lakini od ikiwa on yaani taa imezima fuel consumption lazima itakuwa kubwa sbb umeweka extra power na hapo speed ni hadi unamaliza dashboard na rotation inafika 5.
Ushauri: Usiendeshe gari od ikiwa on kwa maeneo ya mjini sbb ni wastage of fuel na kama upo long safar weka od on kama una overtake tu na si vinginevyo.

naona mnachanganya watu ila kwa dreva ambaye ni mzoefu atasoma na kuwashangaa tu ila kwa faida ya wengi hata wale ambao hawajanunua magari nimeamua kuwaelimisha maana hii lugha si yetu hivyo tunatakiwa kua makini wakati pengine wa kutafsiri na kama hatuwezi kutafsiri basi tufanye kwa vitendo

1 display ya kwenye computer,calculator,simu yako ya mkononi inayosema shut dowm ama off humaanisha ni command yako kusubiliwa
2 haya maneno ya kiingereza yakibadilishwa tu position huleta tafsiri t0fauti mfano


off o/d , o/d off,computer shutdown,shutdown computer nk.

Dashboard ikiwaka ama iki display off o/d manaake wewe unatakiwa kukubali kwa kubonyeza button na hayo maneno hutoweka kwa maana ya kua nimezima overdrive basi na gari utaisikia imekua nzito na ata rpm ya engine utasikia imepungua
ukibonyeza hii button taa huwaka na gari utaisikia ina cruise hasa
mwana jf kama hujaelewa bonyeza smart phone yako button ya kuzimia display itakayo kuonyesha shutdown ikitokeaa acha kubonyeza uone kama cm yako itazima na kama hujaelewa miliki gari utajua nini maana yake

asanteni
 
Aiseee mnatuchanganya sana,hivi wakuu kautaratibu ka picha mmekasahau? Tupieni picha kuwa OD ikiwa on itakuwa hivi na unatumia maelezo,na OD ikiwa off iko hivi unatupa melekezoo,bila ya picha vichwa vishavurugwa na usemi AMEKATWA!😕
 
mi nnachokiona hapa ni kuwa watu wengi hawaelewi maana ya taa za kwenye dashboard ya gari...kwa kawaida taa yoyote inayowaka kwenye dashboard maana yake kuna kitu cha ziada(si kawaida) kinaendelea kwwnye gari yako na ndo maana ile taa inaku alert!! So kwa hali ya kawaida kabisa unatakiwa kuendesha gari yako wakati taa zote za dashboard ziwe off..manake mnavyoelezana hapa mwisho wengine watasema hata ukiona taa ya ile alama ya seatbelt maana yake umefunga mkanda...dashboard huwa inakuoa alert mbalimbali za gari yako kwa kutumia taa ...so ukiona od inaonekana kwenye dashboard yako maana yake si sahihi kuendesha katika mazingira ya kwaida unless kwenye yale matumizi yalioidhinishwa ya od kama kwenye mlima au unaovertake..full stop.

na kama na huyu hamjamwelewa basi hakuna haja ya kuwepo humu
 
Aiseee mnatuchanganya sana,hivi wakuu kautaratibu ka picha mmekasahau? Tupieni picha kuwa OD ikiwa on itakuwa hivi na unatumia maelezo,na OD ikiwa off iko hivi unatupa melekezoo,bila ya picha vichwa vishavurugwa na usemi AMEKATWA!😕

Upo sahihi mkuu,

Waweke picha, hapa nimepitia post zote sijapata muelekeo
 
kama usipoelewa na maelezo haya hapa chini basi we ni wa KUKATWA TU...!!

What is the meaning of "Overdrive (O/D) OFF"? - Automatic Transmission Cars




I have been asked this question over and over again by owners of automatic transmission cars. Myself , i love the manual transmission cars (also know as "stick shift") and this term "overdrive OFF" may not be applicable to the manual cars as you will later find out in this brief article.

Am not going to be too technical and am going to be brief and precise, so i hope this speaks to the layman and immediately clears your doubts about the "O/D OFF" indicator on your car dashboard.

so what is O/D?
O/D simply stands for Overdrive

There are two important components of the O/D that you need to know:

1. The O/D main switch - This is a small button located on the gear selector of your car.
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]O/D main switch[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
2. The "O/D OFF" indicator light - The umber light that shows up on the dashboard when the O/D main switch is in OFF position.
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]O/D OFF indicator light[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
So here comes the big questions; what does O/D do? When do i need it? what is the default position of the O/D switch?
Like i promised, the answer is short and precise.

Overdrive allows the car to operate in the highest gear in the transmission (Usually gear #5 or gear #4 for cars that only have 4 gears). This allows the vehicle to achieve better fuel efficiency, and often quieter operation on the highway. When O/D is OFF, the automatic transmission shifting is limited to the lower gears (gears #1, #2 & #3).

By default, "O/D is ON"; That's the O/D switch button is pressed and the O/D indicator light on the dashboard is NOT showing (means O/D ON).
"O/D is OFF" when the O/D switch button is released and the O/D indicator light on the dashboard is lighting.

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]O/D switch positions[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
You need "O/D ON" if; you are on a highway and driving at higher speeds, usually above 70 km/h. (allows the car to operate at higher gears and this is friendly to the engine and is fuel efficient).

You need "O/D OFF" if; you are on a bad road, going up a hill, carrying a heavy load, driving in slow city traffic, going down the hill and you need engine braking, or if you need quick acceleration for example during an overtake.
 
kwenye gari lako kama gear box(manual transmission) no gear 1 - 5 basi hiyo namba tano ndo overdrive..in other words its allows the engine to operate at a lower rpm when your car wants to engage its top most gear for speed with better fuel efficiency.kwenye automatic,ikiwa off inalimit ibaki kwenye low gears so it puts more strain kwenye gear box.wanashauri uweke Off kama unavuta trailer au una mzigo mzito
Hii kitu tumeelezea hapa jamvini mara nyingi lakini bado watu wanakuja na theory zao za kufikirika. Maelezo yako hapa ni sawa 100%. Kama unaendesha gari ndogo automatic wewe acha OD on na wala usibadilishe unless kuna utelezi au unavuta trailor. Simple as that👌
 
Hii kitu tumeelezea hapa jamvini mara nyingi lakini bado watu wanakuja na theory zao za kufikirika. Maelezo yako hapa ni sawa 100%. Kama unaendesha gari ndogo automatic wewe acha OD on na wala usibadilishe unless kuna utelezi au unavuta trailor. Simple as that👌
Endelea kutoa elimu usichoke mkuu gari za automatic pamoja na kwamba ni simple kuendesha ila wengi hawatambui matumizi ya gear lever na hata mafundi wa garage kila mtu anakuwa na maelezo yake linapokuja suala la automatic transmission
 
Bado hujazungumza kitu mleta mada. Tuambie kama OD ikiwa on inaongeza kiwango cha ulaji mafuta au vinginevyo.

Wengi hapa hamjui kinachoendelea.

Nimetafuta maana yake kwenye Google, na kwa mujibu wa WikiPedia, Over Drive ni kama ifuatavyo:

Overdrive in a car helps your car run at lower rpm's, such as when you are driving down the highway, to help you save gas. It is a "taller" gear designed to let your car cruise at higher speed without stressing the engine. D2 and D3 are two transmission settings, and is settings for what gear you want to put your vehicle in, by locking that in as the highest recommended gear. It will either allow you to run in second (d2) or third (d3) in case you need more power.
 
kama usipoelewa na maelezo haya .....


Ukipitia manual ya gari husika itakusaidia kujua sana, kwa magari ya Kijapan pamoja na kuandikwa kwa Kijapan lakini picha zinasaidia sana.
 

Attachments

  • 1443253042817.jpg
    1443253042817.jpg
    41.1 KB · Views: 265
Back
Top Bottom