Hata mimi sijaelewa. Hii issue kwa nini Toyota hawajatoa elimu inayoeleweka sijajua kwa kampuni zingine. Nianavyo mimi kwa hisia ya nguvu ya gari nyingi za kampuni ya Toyota niliyotumia,kukiwa dashboard iko empty bila taa gari inakua normal na speed inakua ya kawaida sana. Lakini niki engage na taa ikawaka,gari inakua na nguvu kubwa na inakua na kasi ya ajabu. Somo hili linatakiwa kurudiwa ili ukweli ujulikane,pengine nadharia ya mada husika hapo ni kwa magari ya Kampuni zisizokuwa Toyota,ila kwa Toyota,mada hii inaleta ukakasi.