Ku overtake huwezi zima overdrive mkuu! Huyu jamaa huenda hajui concept behind O/D!
If you need more torque then zima kidogo halafu washa, hii ni incase una overtake kwenye muinuko. Ila kama pako tambarare au mteremko we gandamiza mguu tu kama gari iko vizuri itaitika.
Watu wakifuata maelezo ya mleta mada watapotea kabisa.
Nadhani jamaa amesimuliwa kijiweni tu akaja kuweka uzi bila kujipiga nondo. O/D concept ni science imetumika sio fasihi simulizi.Watu wakifuata maelezo ya mleta mada watapotea kabisa.
Sasa Mkuu O/D si nmeshakuelezea hapo kwa maelezo marefu na ya kutosha. Ina maana hujanielewa au unakaza kichwa tu?Elewa maana ya OD/ OFF maana yake nini. Ndio maana mwanzo nilikuuliza kwanini tairi ikibast unatakiwa kuweka OD OFF?
Pia jaribu hata kugogo, yamkini nakosea lakini kwenye ku overtake haina ubishi .
Just gogo na ulete jibu
Nadhani jamaa amesimuliwa kijiweni tu akaja kuweka uzi bila kujipiga nondo. O/D concept ni science imetumika sio fasihi simulizi.
Sasa Mkuu O/D si nmeshakuelezea hapo kwa maelezo marefu na ya kutosha. Ina maana hujanielewa au unakaza kichwa tu?
Unapo overtake unahitaji speed ama Torque?
Mie sio kama sijui mkuu, ila mfumo wa gear katika gari umetengenezwa kwa kuzingatia mazingira tofauti ya uendeshaji.
Kuna mambo mawili!
1.Speed
2.Torque
Ili kuondoa engine strain katika maeneo ambayo nguvu kubwa ya kusogea inahitajika (torque) mfano vilimani,kwenye matope n.k dio wakaweka gia kubwa maana engine itatengeneza nguvu kirahisi zaidi ila kwa speed ndogo. 1-2-3 ndio gia zenye torque kubwa kuliko speed...
Palikuwa hapajaulizwa swali bado!Umeeleza vizuri umeacha tuu kipengere cha kwanini onapo overtake unatakiwa kuwela OD OFF? Haaaa
Gari yako ni 4 speed automatic au 5 speed automatic?Sasa unasevuje mafuta wakati unatembelea gia 3 tu!
Kwangu gear ya tatu ni 33km/h to 53km/h. Gari inaanza kudai gia ya nne kuanzia 54km/h-73km/h. Kutoka 74km/h mpaka mwisho wa speed ni gear namba 5 tu!
Ukiweka OD OFF huwezi kuipata ile highest gear mkuu which is bad for fuel economy, rotation per minute itakuwa kubwa kuliko speed!
Mie huwa naizimaga na kuiwasha nikiwa speed ila nataka ku overtake. Gari inavuma inarudi gia ya chini kisha inakamata gia ya mbele inachomoka kama mkuki!
Isiwake!!Sasa nikiwa nasafiri taa ya od iwake kwenye dashboard au isiwake?
Habari Wadau
Kuna uzi nilishauona humu umeeleza maana na matumizi ya gia "OD" kwa kweli ule uzi sikuuelewa vizuri...
Habari Wadau
Kuna uzi nilishauona humu umeeleza maana na matumizi ya gia "OD" kwa kweli ule uzi sikuuelewa vizuri..
Ni wapi ulishawahi ambiwa au imeandikwa kuwa automatic transmission vehicles ni kwaajiri ya disabled people?!Mkuu na wewe unaendesha auto? kwani wewe ni mlemavu? Gari manual bana.....
Sasa gari inakuwa nzito halafu inakimbia haraka tena?!Nina Escudo yani nikiweka OD inakuwa nzito na inakimbia na kuchanganya haraka huwa mpaka naogopa, nashindwa kuelewa mnaposema ukifika ukitaka kukimbia zaidi inabidi uitoe ukifikia speed fulani.