Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Elewa maana ya OD/ OFF maana yake nini. Ndio maana mwanzo nilikuuliza kwanini tairi ikibast unatakiwa kuweka OD OFF?
Pia jaribu hata kugogo, yamkini nakosea lakini kwenye ku overtake haina ubishi .
Just gogo na ulete jibu
Pia jaribu hata kugogo, yamkini nakosea lakini kwenye ku overtake haina ubishi .
Just gogo na ulete jibu
Ku overtake huwezi zima overdrive mkuu! Huyu jamaa huenda hajui concept behind O/D!
If you need more torque then zima kidogo halafu washa, hii ni incase una overtake kwenye muinuko. Ila kama pako tambarare au mteremko we gandamiza mguu tu kama gari iko vizuri itaitika.