Fahamu kuhusu utawala na Jaribio la kumpindua Rais Daniel Arap Moi (1982)

Fahamu kuhusu utawala na Jaribio la kumpindua Rais Daniel Arap Moi (1982)

wakikuyu ndio walisababisha like jaribio,tukirudi katika historia,tuna ambiwa kwamba Kenyatta aliingia msituni kupigania uhuru wa wakenya.
wakina jaramogi wao walitumia njia za mwalimu nyerere kumuondoa mkoloni bila kumwaga damu,ikafikia hatua Kenyatta alikamatwa na kufungwa,wenzake wakina odinga waliendelea na harakati za ukombozi.
ikafikia hatua mkoloni akakubali kuachia ngazi na jaramogi awe waziri mkuu,lakin kwa kuwa mwenzio Kenyatta alikuwa bado yupo korokoroni wakasema bila Kenyatta kuachiwa huru no Uhuru.
wakoloni wakamuachia Kenyatta,wakapata Uhuru,hapo ndipo true colors za mkikuyu zikaanza kuonekana.
alianza kuwagawia na kujimikikisha madhamba makubwa makubwa na pia kuwapa nafasi kubwa kubwa serikalini wakikuyu wenzake.
hapo ndipo ukabila ulipo anzia.
I stand to be corrected

Hapo umekosea sana. Ochuka hakuwa mkikuyu.

Hebu sikiza accent ya wale wanaoongea hapa na utajua ni wajaluo.

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom