Fahamu kuhusu 'uvimbe jini (monster tumor)

Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
2,968
Reaction score
8,139
Umewahi kusikia uvimbe uitwao , uvimbe_jini, au kwa kingereza "monster_tumor"

hii ni aina ya uvimbe unaopatikana katika mji_wa_mayai_wa_mwanamke... pamoja na Ovary_and_fallopian_tube..
Inasemekana .Uvimbe huanza kama moja ya [HASHTAG]#yai[/HASHTAG] ambalo limeshindwa kufika katika mji wa uzazi_uterus
uvimbe huanza taratibu na huweza kukaa hapo miaka_na_miaka yaani uvimbe unakua..
Baada ya kipindi fulani uvimbe uanza kuweka dalili za kukomaa kama mfupa_wa_kichwa.. Na mwishowe huota_meno..
Uvimbe hutolewa kwa njia ya upasuaji., na hio ndio tiba yake

Picha hii hapa inaonyesha uvimbe huo ukiwa umeshatolewa kwa njia ya oparesheni
FB_IMG_1525452230560.jpg
 
Umewahi kusikia uvimbe uitwao , uvimbe_jini, au kwa kingereza "monster_tumor"

hii ni aina ya uvimbe unaopatikana katika mji_wa_mayai_wa_mwanamke... pamoja na Ovary_and_fallopian_tube..
Inasemekana .Uvimbe huanza kama moja ya [HASHTAG]#yai[/HASHTAG] ambalo limeshindwa kufika katika mji wa uzazi_uterus
uvimbe huanza taratibu na huweza kukaa hapo miaka_na_miaka yaani uvimbe unakua..
Baada ya kipindi fulani uvimbe uanza kuweka dalili za kukomaa kama mfupa_wa_kichwa.. Na mwishowe huota_meno..
Uvimbe hutolewa kwa njia ya upasuaji., na hio ndio tiba yake

Picha hii hapa inaonyesha uvimbe huo ukiwa umeshatolewa kwa njia ya oparesheniView attachment 765840
Aiseee
 
Chanzo chake ni nini?
 
Kwahiyo tuseme ni kichwa cha mtoto kilichozeekea tumboni au
 
Back
Top Bottom