Fahamu kuku ghali zaidi duniani

Fahamu kuku ghali zaidi duniani

Joined
Jun 30, 2021
Posts
5
Reaction score
15
Kuku Wa kabila la Dong tao ambao wanatambulika kwa kuwa na miguu minene ndiyo kuku ghali zaidi duniani.Kuku hawa huuzwa kwa bei hadi kufikia dola za marekani 2000.

images (22).jpeg

Wanapatikana kwa wingi nchini Vietnam. Awali kuku hawa, walitumika kama mapambo katika nyumba za kifalme, sasa hivi hutumika katika maonesho na michezo.

#MkulimaAgriClinic
#KilimoNiSayansi
 
Nafikiri Ayam Cemani ndio kuku ghali duniani
Kuku ambae ni mweusi kila kitu mwilini kuanzia manyoa, nyama, mayai yote ni nyeusi tii
Huyu ndio kuku ghali duniani
Bei $5000View attachment 1845224
Naunga mkono hoja, kuna aina nyingi za kuku wakubwa na bei nzuri kama huyu Ayam ceman, brahma, nk, sijui kwa Tanzania tutawapataje na masoko yao pia yatakuaje maana naona kama tunapishana na fursa
 
Mkuu Tanzania ni nchi ambayo utakuta vitu vya ndani tu
 
Naunga mkono hoja, kuna aina nyingi za kuku wakubwa na bei nzuri kama huyu Ayam ceman, brahma, nk, sijui kwa Tanzania tutawapataje na masoko yao pia yatakuaje maana naona kama tunapishana na fursa

Mkuu Tanzania ni nchi ambayo bidhaa zake zote kuanzia mimea, Mifugo, na hata wanyama pori na wadudu utawakuta duniani kote

Yaani watu wenye akili walianza kusomba vitu vyetu miaka mingi sana ila sisi kama tumerogwa vile hata mbuzi wa Jirani South Africa tumeshindwa kuwaleta kwetu

Dubai wanacheza na Simba wetu na Chui wanawapakia mpaka kwenye gari zao za kifahari badala ya mbwa

Yaani inasikitisha sana unapoambiwa tuna wizara zote ila website zao hazina maelezo yoyote

Wasomi wakitukanwa wanajitetea
Sheria zinafichwa haziwekwi wazi ili kuwepo mwanya wa Rushwa

Kama wana nia ya kuhamasisha tulete wangeyaongelea hata bungeni ila hakuna kitu
 
Kuku Wa kabila la Dong tao ambao wanatambulika kwa kuwa na miguu minene ndiyo kuku ghali zaidi duniani.Kuku hawa huuzwa kwa bei hadi kufikia dola za marekani 2000.

View attachment 1836874

Wanapatikana kwa wingi nchini Vietnam. Awali kuku hawa, walitumika kama mapambo katika nyumba za kifalme, sasa hivi hutumika katika maonesho na michezo.

#MkulimaAgriClinic
#KilimoNiSayansi
Ughali wake unaletwa na hayo matende miguuni ama?
 
Hiv anautamu kweli huyo[emoji3166]… hadi kiini cha yai cheusi au[emoji1787]

Waliokula wanasema utam wake ni kama kuku wa kawaida
Na ni mlaini akipikwa kuliko kuku wengine

Ila tatizo nyama ni nyeusi hata ukiipika [emoji23][emoji23]
Kwa hiyo hata wife akiunguza huwezi kujua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utahisi harufu
 
Back
Top Bottom