MkulimaAgriClinic
Member
- Jun 30, 2021
- 5
- 15
Naunga mkono hoja, kuna aina nyingi za kuku wakubwa na bei nzuri kama huyu Ayam ceman, brahma, nk, sijui kwa Tanzania tutawapataje na masoko yao pia yatakuaje maana naona kama tunapishana na fursaNafikiri Ayam Cemani ndio kuku ghali duniani
Kuku ambae ni mweusi kila kitu mwilini kuanzia manyoa, nyama, mayai yote ni nyeusi tii
Huyu ndio kuku ghali duniani
Bei $5000View attachment 1845224
Naunga mkono hoja, kuna aina nyingi za kuku wakubwa na bei nzuri kama huyu Ayam ceman, brahma, nk, sijui kwa Tanzania tutawapataje na masoko yao pia yatakuaje maana naona kama tunapishana na fursa
Negro chickenNafikiri Ayam Cemani ndio kuku ghali duniani
Kuku ambae ni mweusi kila kitu mwilini kuanzia manyoa, nyama, mayai yote ni nyeusi tii
Huyu ndio kuku ghali duniani
Bei $5000View attachment 1845224
Naunga mkono hoja, kuna aina nyingi za kuku wakubwa na bei nzuri kama huyu Ayam ceman, brahma, nk, sijui kwa Tanzania tutawapataje na masoko yao pia yatakuaje maana naona kama tunapishana na fursa
Ughali wake unaletwa na hayo matende miguuni ama?Kuku Wa kabila la Dong tao ambao wanatambulika kwa kuwa na miguu minene ndiyo kuku ghali zaidi duniani.Kuku hawa huuzwa kwa bei hadi kufikia dola za marekani 2000.
View attachment 1836874
Wanapatikana kwa wingi nchini Vietnam. Awali kuku hawa, walitumika kama mapambo katika nyumba za kifalme, sasa hivi hutumika katika maonesho na michezo.
#MkulimaAgriClinic
#KilimoNiSayansi
Ni kunguru sasaNafikiri Ayam Cemani ndio kuku ghali duniani
Kuku ambae ni mweusi kila kitu mwilini kuanzia manyoa, nyama, mayai yote ni nyeusi tii
Huyu ndio kuku ghali duniani
Bei $5000View attachment 1845224
Ni kunguru sasa
Hiv anautamu kweli huyo[emoji3166]… hadi kiini cha yai cheusi au[emoji1787]
Kila kitu ni chausi, inasemekana nyama yake ina virutubisho zaidi na tamu piaHiv anautamu kweli huyo[emoji3166]… hadi kiini cha yai cheusi au[emoji1787]
Utahisi harufuWaliokula wanasema utam wake ni kama kuku wa kawaida
Na ni mlaini akipikwa kuliko kuku wengine
Ila tatizo nyama ni nyeusi hata ukiipika [emoji23][emoji23]
Kwa hiyo hata wife akiunguza huwezi kujua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]