Habar ?
Leo nataka tuzungumzie hili suala la namna ya kufukia TANK la mafuta (kuzika tank)
Ndugu yangu ukiwa unajenga kituo Cha mafta ( petrol station)
Cha kuzingatia sana na kuwa MAKINI ni Tank namna ya kuziweka make hicho ndio kituo chako. Tank ndio mama katika
Petro station ukicheza mistake kidogo tu unaweza pata hasala kubwa katika biashara yoko
" Cha kuzingatia ni "
1) Tangi inatakiwa itengenezwe kiustad na Uimara zaid katika uchomaji wake
2) baada ya matengenezo yake inatakiwa ijazwe upepo Ili kubaini kama inavuja au haivuji.
3) Kisha baada ya hatua ya 2 inatakiwa kupakwa rangi ya kuzuia kutu, na inafuatiwa na upakaji wa Lami Ili kulilinda tank lako.
4) ni mchakato wa kulizika chini hapa napo panahitaji umakini sana kwanza kabla ya kuchimba shimo lake unatakiwa upate level ya eneo Ili lisije likaonekana lipo juu ama chini zaid.
5) imalisha chini Kwa kuweka Beem Ili uweze kulifuna tank lako Kwa minyololo.
6) hi ni hatua ya mwisho kulishusha chini na hakikisha linakaa pima maji na uhakikishe umelifunga minyololo Ili uwe na uhakika wa Tank kutokuyumba na kuibuka juu (kupanda juu)
Hapo fukia Kwa mchanga Ili kuilinda chuma ya Tank kuliwa na kutu.
Naomba niishie hapa Kwa leo lakin ukitaka kujua zaidi karibu Kwa majadiliano ya kina.