Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni vema pia tukafahamu kwamba Wakati wa Bunge la Katiba , Mh Rais Samia ndiye aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa bunge lile huku Mwenyekiti wa bunge akiwa Samuel Sitta .
Nimeanza na hili ili kuwaonyesha wadau kwamba Mh Rais anajua sana kuhusu mahitaji ya Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi kwenye nchi hii , huyu ndiye aliyekuwa msikilizaji msaidizi wa hoja zote za wadau wa Katiba Mpya ndani ya bunge lile , lakini cha ajabu ni kwamba Katika Hotuba yake bungeni hakugusia chochote kuhusu jambo hilo .
Hii si dalili njema .