Fahamu kwamba Hotuba ya Rais Samia Suluhu haikugusia chochote kuhusu Katiba Mpya wala Tume Huru ya uchaguzi

Sahau kuhusu hio toka kwa mccm yeyeto.Hapo ni SAwa na kulala mlango wazi ukiamini wezi awatoingia.
Ccm haiwezi onja sumu katu
 
Ni vema pia tukafahamu kwamba Wakati wa Bunge la Katiba , Mh Rais Samia ndiye aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa bunge lile huku Mwenyekiti wa bunge akiwa Samuel Sitta .

Nimeanza na hili ili kuwaonyesha wadau kwamba Mh Rais anajua sana kuhusu mahitaji ya Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi kwenye nchi hii , huyu ndiye aliyekuwa msikilizaji msaidizi wa hoja zote za wadau wa Katiba Mpya ndani ya bunge lile , lakini cha ajabu ni kwamba Katika Hotuba yake bungeni hakugusia chochote kuhusu jambo hilo .

Hii si dalili njema .
Sasa unataka aitaje vipi,wakati mwizi mwenyewe kajisema mahakamani nawakati huo huo hakimu anamwambia futa kauli yako wewe sio mwizi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Punguza papara, tayari ameahidi ndani ya bunge tena through printed document kuwa atakutana na vyama vya siasa vya upinzani. Sasa huko mkienda msiishie kupiga juice na kuchekacheka.

Nendeni agenda hizo 2 muhimu za Tume huru ya uchaguzi pamoja na Katiba mpya.. Hakikisheni agenda mojawapo mnatoka na majibu ya Rais yenye timeframe.
 
Yote na yote ni heri kofia mbili zitenganishwe Ili kuzuia udikteta nchini.Rais akizingua anafukuzwa uanachama na mwenyekiti wa chama na uraisi wake unakoma hapo hapo.
 
Ni vema pia tukafahamu kwamba Wakati wa Bunge la Katiba , Mh Rais Samia ndiye aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa bunge lile huku Mwenyekiti wa bunge akiwa Samuel Sitta .

Nimeanza na hili ili kuwaonyesha wadau kwamba Mh Rais anajua sana kuhusu mahitaji ya Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi kwenye nchi hii , huyu ndiye aliyekuwa msikilizaji msaidizi wa hoja zote za wadau wa Katiba Mpya ndani ya bunge lile , lakini cha ajabu ni kwamba Katika Hotuba yake bungeni hakugusia chochote kuhusu jambo hilo .

Hii si dalili njema .
Wacheni kazi ziendelee.
 
Kwa hiyo?
Chadema wenyewe hawaongdli tume mpya mpaka wakishindwa uchaguzi
 
Katiba mpya na Tume huru ni mwiba mkali kwa tabaka tawala.Haitakuwa njia rahisi kuvifikia.
Ni vema pia tukafahamu kwamba Wakati wa Bunge la Katiba , Mh Rais Samia ndiye aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa bunge lile huku Mwenyekiti wa bunge akiwa Samuel Sitta .

Nimeanza na hili ili kuwaonyesha wadau kwamba Mh Rais anajua sana kuhusu mahitaji ya Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi kwenye nchi hii , huyu ndiye aliyekuwa msikilizaji msaidizi wa hoja zote za wadau wa Katiba Mpya ndani ya bunge lile , lakini cha ajabu ni kwamba Katika Hotuba yake bungeni hakugusia chochote kuhusu jambo hilo .

Hii si dalili njema .
 
HAIPO KWENYE ILANI YA CCM 2020-2025. HAPO NDIYO UJUE CCM NI ILELE, KUSHANGILIA KWENU KWA KUFA KWA MAGU, HAKUJABADILISHA CHOCHOTE. NGOJA MAMA AWAPIGE KWA NGE MKOME KABISA, MAANA MLIONA MAMA MTAMTEKA KWA VISIFA UCHWARA VYENU VYA MWANZONI.
NAONA MMEANZA KUMUONA MAMA HAFAI TENA PAMOJA NA YALE MAPAMBIO UCHWARA YA MAPEMA.
USIKONDE, BAADA YA KUKAMILIKA KWA MIRADI YA KIMKAKATI ILIYOACHWA NA HAYATI MAGU, NAAMINI HILO SWALA KATIBA MPYA LITAKUJA, KUWA NA SUBIRA, MKUU, ERYTHROCYTES, KAZI IENDELEE. HOTUBA YA MAMA ILIKUWA OVER 90% MAGU, UPO MKUU? NDIYO MAMA MAANA KIBARAKA WAKO ALIYEKO UGHAIBUNI HAKUBALIANI NAYO, NA HUYO NDIYO MAMA, MKUU.
Una maanisha kwamba mambo yale yale ya ukatili na utekaji bado yangalipo ?
 
Ni vema pia tukafahamu kwamba Wakati wa Bunge la Katiba , Mh Rais Samia ndiye aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa bunge lile huku Mwenyekiti wa bunge akiwa Samuel Sitta .

Nimeanza na hili ili kuwaonyesha wadau kwamba Mh Rais anajua sana kuhusu mahitaji ya Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi kwenye nchi hii , huyu ndiye aliyekuwa msikilizaji msaidizi wa hoja zote za wadau wa Katiba Mpya ndani ya bunge lile , lakini cha ajabu ni kwamba Katika Hotuba yake bungeni hakugusia chochote kuhusu jambo hilo .

Hii si dalili njema .
Mkuu mnashindwa nini?

Mnafeli wapi ?!!!

Ingizeni kipengele cha KATIBA MPYA katika ilani yenu ya uchaguzi 2025.....

Wananchi wanaotaka KATIBA MPYA huwenda wakawachagua na sisi tusiotaka hiyo KATIBA tukashindwa!

#KaziIendelee
 
Una uwezo mwembamba sana ! kwangu anayewaza kula tu kama wewe huwa namhurumia sana !
 
🤣🤣Sawa "intelligent" RBC!

Nashukuru kwa huruma yako hiyo si jambo dogo mkuu!

Haya tunasubiri MASHINIKIZO ya kamati ya nje ya bunge la US na Amnesty Intl katika kutoka rumande kwa mh.Mbowe.....

#KaziInaendelea
 
Back
Top Bottom