Fahamu kwanini iphone inabaki kuwa bora kuliko simu za android

Fahamu kwanini iphone inabaki kuwa bora kuliko simu za android

Mkuu umewahi kuona Camera za Samsung Ultras na Google Pixels?
 
Unaonekana unajua vingi kuhusu hizo simu za iPhone.

Unaweza ukanieleza kwanini maduka mengi yanayouza hizo simu kuna decorations nyingi tena zikiwa zimenakishiwa na mbao kuzidi idadi ya simu..?
 
Wanaotumia iphone wanajikuta wao ndio freemason kumbe hakuna kitu ni vile tu kampuni ya iphone imeweza kuwateka wateja wake kisaikolojia kwa kuwaproud kuwa wao ni special.

Hata ukitaka mvuta mtoto wakike msifie ajione yeye ni special chap tu unampeleka ghetto 😂

Android unaweza kusave vitu vyako google drive na ukavipata vyote kikubwa usisahau email yako na password ya email.

Kuhusu kushuka bei kwa simu zilizopita sokoni si hoja yenye nguvu,na nakushangaa maana huku mtaani watu wanazibeba hadi kwa laki na hamsini nakuendelea!

Android ni nyepesi na ipo huru isiyo na mfumo wakunyanyasanyanyasa wateja wake,takribani apps zote unaweza kuzipata kwenye mfumo wa android,huko iphone mpo kwenye gereza na kifungo kisichofunguka!.

Kuhusu hacking usije ukajidanganya wewe member ulielewa hilo tunda la apple,ukafikiri hiyo IOS upo salama labda kama wewe sio mfatiliaji tu ila wapo hackers wazuri wanaoweza ku hack mifumo ya iOS so usijitie ushankupe.

Piga uwa galagaza iphone haimfikii google pixel kwenye quality ya picha!

Umekaa kizembe sana babu..😅
Umemaliza kila kitu.
 
Umemaliza kila kitu.
Ecosystem ya apple products ni imara sana kwenye hardware nafikiri kushinda products nyingine za electronics.
Nakupa mfano MacBook ya 2012 inazidi hardware specs/speeds ya most windows and even phones,shida ya android jinsi unavyoibebesha mzigo(applications) ndio inavyozidi kua slow nitofauti na apple products,itakupa shida km jamaa wame temple na hardware Ila zile original sijapata yenye shida
 
Back
Top Bottom